Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

hivi Mil. 4 kumbe ni ndogo sana kw wengine. Mmeshawahi kuuiliza walimu wanaalipwa shilingi ngapi?
Suala kusomesha wadogo zake inahusika nini na club? Huo ni uamuzi wake na mipango yake.
Ualimu ni wito , mpira ni biashara.

Japo kikubwa ilitakiwa azingatie mkataba wake na timu.
 
Ina maana Mtu anayelipwa mil 4 anakuaje na maisha Magumu au ana familia kubwa inamtegemea nyuma lakini yote kwa yote future is mystery.
 
Alikuwa anahonga mshahara wote, lazima ale ugali sukari
 
Huku ni kutafuta huruma tu ya Taifa sasa.
 
Yanga wanapika menu ya ugali na sukari, aisee watu waongo acheni.
 
Gadiel Michael analipwa sh ngapi?
Gadiel hata alipwe milioni 2 au 4 ni sawa tu, toka aje Simba SC hajawahi kuwa kikosi cha kwanza ameshindwa kumchallenge Tshabalala.

Lakini Feisal kazi yake ipo wazi uwanjani hasa zile Block Buster nje ya Box..!
 

Wazanzibar wengine bhana,
Hivi yule alikuwa Poti Rama naye katoka wapi?.. siyo kijiji kimoja na huyu?
 
,

Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
Ukizungumzia mchango wa myu na mshahara walimu, mapolisi na madaktari watakupiga mawe
 
Reactions: Tsh
Wabongo wengi hawazingatii mikataba. Sasa kuhudumia yatima kunahusiana vipi na Yanga. Hayo ni mambo yake mshahara hauongezeki kisa anayelipwa ana majuku sijui ya familia sijui nini.
Angesubiri amalize mkataba wakati wa kurenew anegotiate upya
Wengi wanaangalia figure..!! Mtu ametoka kwenye kulipwa Tshs. 1,200,000/- kama gross pay, huyo akipata sehemu nyingine na kupewa mkataba unaosema atalipwa Tshs 3,000,000/- kama gross pay, nina uhakika kuna vupengere vya mkataba hatavisoma. Baada ya muda wa kuuzowea mshahara kufika, ataanza kelele za kuongezwa mshahara bila hata kufuata taratibu husika.
 
Yanga hawamuhitaji
Haya maneno unayakumbuka ni ya nani?

"Tunapenda kuujulisha umma kuwa, kwa kuthamini kiwango na mchango wa Faisal kwa klabu yetu, tayari tulishaanza mazunguzo baina ya klabu ya Yanga na wawakilishi wa Feisal wakiongozwa na mama mzazi wa mchezaji ili kuboresha maslahi yake na kuongeza muda wa mkataba wake wa sasa ambao unaishia Mei 2024."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…