Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo.
Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi ungepata madarasa 350 kwa kutumia force account, ambazo ni sawa na shule 18 za kuanzia"

Mama kidogo aanguke kwa presha, basi tokea tarehe hiyo mama amekuwa mtu wa sonona, usingizi umekataa kabisa, mpaka kaamua kutumia mvinyo kinyume na Imani yake.

Amekuwa anajiuliza hivi kwanini watu wangu wa chini wananihujumu kiasi hiki, au kwa vile mie ni mwanamama au kwa vile wanajua sijui kuhesabu matofali. Tumuombeeni mama yetu mpendwa.

Angalizo : Huyu ni mama Saidi wa Morogoro anayeongelewa hapa.
 
Huwezi pata mabadiliko yenye tija kama ukichagua watu wenye hulka FULANI ya wizi na ufisadi!!

Yeye angeendelea na wateule wa Mwendazake ambao wangeendeleza ULE uchapa kazi wake!!

Angemtumia majaliwa kama focal point ya endelezo la mageuzi bila kujali hatma ya urais wake huko mbeleni!!

Yeye akakubali kuingizwa KINGI na wale wazee vijana!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!
 
Hivi kujenga daraja ni kosa, au pesa zilitolewa halikujengwa? Kwa hiyo tufananishe thamani ya daraja na darasa? Hivi Kama kilometa moja ya barabara ya lami ni sawa na madarasa 20, kwa hio isijengwe?
 
Wamaomhujumu Mama Saidi mbona wanajulikana.
 
Mama saidi wa Morogoro na daraja la Kibiti, wapi na wapi?
 
Nataman sanaa Maja munyama apewe nchi 2025 kusafisha huu ujinga wa kina nepi na kina February
 
Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo.

Angalizo : Huyu ni mama Saidi wa Morogoro anayeongelewa hapa.
Mkuu MSAGA SUMU embu usimsagie sumu ukamnyeshwa, kisha ukasingizia, sonona!.

Baada ya Tanzania kupata rais mwanamke wa kwanza kwa jina la Mama Samia, neno Mama ya capital M sasa ni synoname ya Samia, hivyo ukisema tuu Mama, then Mama ni mmoja tuu Samia, kama ilivyokuwa kwa Mwalimu ni Nyerere, Bikira kwa Wakatoliki ni mmoja tuu, Bikira Maria, hivyo acha kutuzeveza!.
P
 
Ukifuatilia kwa undani kama wamelikalia kimya basi huo hela ilienda kwenye uchaguzi wa ccm
Si kweli, kama imetumika ccm, hawakua na sababu ya kutaja kiasi hicho, wangeweza kusema tu limejengwa kwa milioni hata tano.

Hilo ni daraja, sio kipande cha barabara, hapo itakuwa limekula nondo za kutosha tu, simenti nyingi na pia yale mavyuma
 
Mwache tu Mama aongozane na wapiga deal sisi tuna tally then tutawapa mahesabu 2025
 
Mtu anashinda kwa waganga daily, acha adaganywe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…