MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo.
Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi ungepata madarasa 350 kwa kutumia force account, ambazo ni sawa na shule 18 za kuanzia"
Mama kidogo aanguke kwa presha, basi tokea tarehe hiyo mama amekuwa mtu wa sonona, usingizi umekataa kabisa, mpaka kaamua kutumia mvinyo kinyume na Imani yake.
Amekuwa anajiuliza hivi kwanini watu wangu wa chini wananihujumu kiasi hiki, au kwa vile mie ni mwanamama au kwa vile wanajua sijui kuhesabu matofali. Tumuombeeni mama yetu mpendwa.
Angalizo : Huyu ni mama Saidi wa Morogoro anayeongelewa hapa.