Mama hamtaki Mpenzi wangu


dah!

Mama mtata!

Ameyajenga, yametokea. Sasa hayataki tena?

Zingatia ushauri wake wa zamani maana ndio umeutumia kufika ulipofika na kufanya ulichofanya.

Nikutakie kila heri
 
dah!

Mama mtata!

Ameyajenga, yametokea. Sasa hayataki tena?

Zingatia ushauri wake wa zamani maana ndio umeutumia kufika ulipofika na kufanya ulichofanya.

Nikutakie kila heri
Ndo nmeutumia ila anaukana inaniumiza sana
 
Mahusiano ni yako, mzazi hayamuhusu inaonekana mama ana sababu nyingine mshirikishe na mzee wako,hata Mimi wakati nataka kuoa mama alikataa nikalazimusha nikamuoa huyohuyo leo tuna miaka 9 ya ndoa ya amani tele na mama angu ni rafiki wa mke wangu hata vitu wanaazimana kwa hio wazazi nao saa nyingine sio wa kuendekeza nao ni binadamu na kwa umri wako ushakua mdada mkubwa kutangatanga utashangaa unazeeka au Mama yako hataki uolewe kama yeye hana ndoa liangalie hilo afu uamue.
 
Wakati mwingine wamama wanasumbua sana
mke wa kaka angu alikua anampenda sana kabla ya ndoa ila alipoolewa baada ya mwezi amekiri alikosea kuchagua huyo binti hafai hataa
 
Kama jamaa ni kweli anavuta skanka na mzee wa mitungi ya gesi hapo pana tatizo kwakweli... Sema daah mapenzi ni upofu sana huenda kwako huoni kama ni tatzo na ushamkubali hivyo hivyo na ulevi wake...
 
Case yako ni complicated,Maana wa mama nao huwaga na jicho la kuona mbele sana,Ila pia sometimes wanakosaga utu na kupenda tuolewe na wanaume wenye stutus na pesa hata Kama hatuwapendi,kupeana maumivu tu kuishi na mtu usompenda kisa mama
 
Sigara, bangi na pombe havina uhusiano na umalaya. Umalaya ni tabia ya mtu maana hata kuna walokole malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…