nitalifanyia kazi mkuu
HahahaPombe+bangi+kitimoto Makange hunitoi humo ng'oo!!Kwa kiasi na kwa wakati!!!
asante nashukuru kwa ushauri mzuri umejitahidi kuhisi nnavyojiskiaPole sana Miss Ariana, kumbuka kila mtu anapitia changamoto zake lakini wakati mwingine hili unalopitia usiruhusu liuteke sana ufahamu wako. Wengi humu wamekupa ushauri kwa utashi wao lakini hawana uzoefu na hawajapitia hali ngumu za kihisia kama unazopitia wewe kipindi hiki. Endelea kusonga mbele na maisha yako lakini huyo Mshikaji wako endelea nae usimuache kwa sababu ya maneno ya Mama yako .
Yani zama ngumu mnooHapo ndiyo walipotufikisha mama zetu wa zama hizi,
KUWA MAKINI USHAFIKISHA MIAKA 28 HAPO JUA LISHAANZA KUZAMA UKICHEZA ZAIDI YA HAPO JIANDAE KUWA SINGO MAMA,,,
KAMA ANATAKA MWENYE PESA YEYE BABA YAKO ALIMKUTA ANAZO?
TUNAISHI ZAMA NGUMU SANA
Wabongo bana..mnawaza uchawi uchawi tuWewe hapo umedata na mapigo ya kitandani mie ninamkasa na watu kama hao ushauri kimbia hama na mkoa kabisa kakuendea Kwa mganga na anatumia nyota Yako kachukua nyaya Yako napia , anatumia Kwa biashara zake mkimbie ipo siku utalia halafu , usipende kumwambia mama Yako ndio hapendi huo usiano wenu oho shauri yako
Yani zama ngumu mnoo
yani mpaka nashangaa ni nini hiki mama zetu hebu wajue
nmecheka kama mazuriNaaaam.....! Nakumbuka mm nilipata mwanamke akashingwa kunipeleka kwao kisa navaa kanzu na kufuga ndevu...
MAMA HATAKI WATU WA AINA HII MWANE ANA MIAKA 37
Yani mpaka nmeshangaaWabongo bana..mnawaza uchawi uchawi tu
Aisee nimezaliwa sijui hata chale Nini ila baada yakuonyeshwa nimekoma aiseeWabongo bana..mnawaza uchawi uchawi tu
ni kweli angesema sababu mbili ama3 sio mbaya ila amechanganya mambo mengi kuashiria chuki binafsiMtu akija kwenu kuoa, mkiridhia DINI na TABIA yake, basi muozesheni. Kwa upande wa TABIA (huenda na DINI pia), mama yako yuko sahihi kuhusu huyo jamaa, changamoto inayoonekana ni kwamba mama yako amechanganya vitu vingi sana; muonekano, uwezo wa kifedha, uvaaji, tabia nk nk. Wakati mwingine hisia zinakuja labda ni "kaka" yako au "baba" yako. In short mambo ni mengi.
AsanteUnaandika vzuri kwa mtu alieishia kidato cha nne. Pia una positive mindset which is good.
Ushauri wangu kwa sasa Acha kumwambia mama kila kitu kuhusu mahusiano yako, ikibidi kubali kua umemuacha. Then jipe muda hata wa mwaka mzima kumsoma huyo mtu.
Sisifii ila nmeona vijana wengi sana wanavuta kwanzia huku Uswekeni kwetu mpaka Huko Mbezi beach/Masaki Vijana ambao hudhanii Wanavuta Bangi/sigara/Shisha pombe ndo wanachanganya Spirit/Gin/Whiskey nk Pombe na bangi sio nzuri ila Sio kitu cha ajabu kama mama angu anavyodhani kwenye jamii ya sasaAisee mbona bangi na Pombe kila mtu anatumia Sasa sioni hiyo Kama sababu yenye mashiko .
Hapa TZ watu wengi wanavuta bangi na kinywa pombe na ugoro na hao ndo waoaji waliobaki Zama hizi na mileji zinasoma parefu.
wapi nmesema mlevi?Unapendaje mlevi?Unajua ugumu wa kuacha ulevi?Kweli umerogwa