Mama hamtaki Mpenzi wangu

Hizo ni tabia mbaya mtu mvuta bangi ,mnywa pombe waga wanavijitabia wakilewa wengine husahau familia zao ,hela yote anamaliza kwenye pombe au nikuulize wewe binti yako utaeza muoza kwa mwanaume mwenye hizo character??

For me character count a lot ,sinaga ile atabadilika sijui akishanioa atabadilika wanabadilikaga for a mins once akikuoa mwendo ni ule ule
Kuna mifano kibao tu
 
Sawa kaeni muda kidogo uone kama kweli kaacha hivyo vilevi na haigizi...
halafu ukijiridhisha kaacha mama anabaki mshauri tu na sio wa kukuamulia mambo yako kwa hiyo utakuwa unampa tu taarifa ya mambo yako.
 
Hebu weka ka picha ka Shem hapa mkuu tuone why huyo mazeri anamchamba hivyoπŸ‘Ί
 
nmeshamshirikisha mamdogo/bamdogo/dada na shangazi wote na wameongea nae jibu ni moja wao hawaoni shida yoyote kwa kijana wanataka kumpa muda ajithibitishe wanashangaa kwanini mama kama anaona anayoona asimuite akasema nae au kwanini asiche muda uongee,kama hata mimi sina haraka ya kuzaa/kuolewa/kuishi

walichogundua mama amekua mbaguzi tu kwamba hata kijana angekuwaje asingemtaka ni chuki yake tu binafsi sio fact
 
Hata mimi nisingekuozesha yaani mwanaume an a kunywa pombe, bangi ,sigara mie hapana wanakuaga malaya mno
Nadhani umalaya ni nature/tabia ya mtu binafsi. Maana wapo wasio walevi au wavitaji, ila ni Malaya first grade.

Afu pia wewe umeishia olevel na yeye olevel watoto wenu nani atawafundisha?

Wapo wazazi ambao hawakusoma, ila watoto wao walifika mbali kielimu, ndio maana kuna shule na tuition. Wazazi wanatakiwa wawe committed kuhakikisha watoto wanapata elimu.

Tafta hata mkaka mwenye diploma mtoto enu apate rolemodel awe inspired kusoma kwa bidii
Huwa nadhani sisi wanaume ndio huwa tunatafuta wenzi, na nyie wadada mnatafutwa. Ana umri wa miaka 28, ameshasema wenye elimu wanamkataa, tokea akiwa early 20's. Soon at turn 30, then awe more stressed and depressed. Think like a woman in this.

Alaf kingine, elimu inawafanya watoto wapate roles model tofauti tofauti. Kati ya watoto 10, unaweza usipate hata mmoja atakayekwambia role model wake ni baba/mama yake.

Usitangulize hisia mbelembele
Mapenzi ni hisia, why asitangulize hisia mbele?
 
Hapana. Kama ni ulevi uliopitiliza kamwe sitoweza. Ila kama ni mnywaji, Inshallah!. Uvutaji wa bangi ni BIG NO.

Wapo wanaobadilika. Bangi haina arosto, mtu akiamua kuacha na kutoendekeza basi anaamua.
 
Na hio Olvel tulioishia ni maisha tu sio kwamba ndo 0 brain..
Umalaya hio Cv hana na mpaka mama mwenyewe anajua
nilichoona mama ana Matarajio makubwa mno juu yangu ambayo yeye hakuyatimiza anataka niyatimize anaona kama namfelisha
 
nilishawahi kukutana na situation kama hiii aisee mamkwe alidai natumia pombe na bangi ila mke wangu aliniamini na kunipenda
kufupisha tu story mama mkwe ananitegemea na anajutia aliyokuwa anayasemaisee ni miaka kumi sas
 
Basi sawa mi nimejisemea tu mkuu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo Huwa mnaongea sana na wazazi wenu Hadi mnakosea
 
Msikilize mama maadamu mumeishi nae mtaa mmoja yeye anamjua zaid kuliko wewe kama ilivyo kawaida ya wazazi kuwafahamu watoto makuzi yao
 
old her mama I'm getting married, I could hear her voice
On the other side of the telephone, she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said, "Son did you take time to know her?"
I said mama she's the best but today it hurts me so
To go back to mama and say mama I'm getting divorced
Oh I'm getting divorced
This choice I made didn't work out
The way I thought it would
This choice I made. It hurts me so mama,
This choice i made, didnt work out the way i thought it would, this choice of mine oh!
Mama said me.
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it, you'll be happy again. 2x
I remember in church, when the preacher man read the scriptures
You looked so beautiful, so beautiful and so innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colors that will destroy me in the near future
This choice I made didn't work out to be what i thought it be
Oh!, mama
This choice i made didnt work out the way i thought it would now am hurting.
I remember when I held you
By the hand preacher man read the scriptures
Putting words in your mouth.
Maybe what the preacher man said
Was not something that was within you.
Now I know what they mean when they say
"Beautiful woman is another man's play thing"
Oh! Lord! I'm hurting now
This choice I made didn't work out
The way I thought it would, this choice of mine oh!
Mama said to me
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it, you'll be happy again.
Source: Musixmatch
 
Na hio Olvel tulioishia ni maisha tu sio kwamba ndo 0 brain..
Umalaya hio Cv hana na mpaka mama mwenyewe anajua
nilichoona mama ana Matarajio makubwa mno juu yangu ambayo yeye hakuyatimiza anataka niyatimize anaona kama namfelisha
mwambie maisha yanataka "humble beginnings". Pengine atakuelewa
 
Na hio Olvel tulioishia ni maisha tu sio kwamba ndo 0 brain..
Umalaya hio Cv hana na mpaka mama mwenyewe anajua
nilichoona mama ana Matarajio makubwa mno juu yangu ambayo yeye hakuyatimiza anataka niyatimize anaona kama namfelisha
Sawa mwali wetu mtarajiwa follow your heart but also take your brain with you

Kila.la heri dia 😘😘
 
mkuu princess ariana hapo kwenye pombe na bangi usipachukulie poa, hivyo vitu vina uraibu MNO na watu wana-struggle sana SANA kuacha.... Yawezekana sana anatumia bado, lakini kwa kujificha... Ni uraibu mbaya mno unaomaliza pesa na afya ya akili... nimeona mengi kwenye hii sekta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…