Mama hamtaki Mpenzi wangu

Mama hamtaki Mpenzi wangu

NIMESOMA COMMENT NYINGI ILA UKIONA HIYO MAMA YAKO ALISHALIWA NA HUYO JAMAA..NDO MAANA ANAWEKA VIPINGAMIZI VINGI SANA USIFANIKIWE.
Hata mimi ndio hisia zangu. Maza kapita na huyo mshikaji
 
Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
  • mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
  • Kwasasa ana biashara zake
-wote tumeishia 0- level kielimu
-anataka kunioa pale nikiridhia

sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- aliwahi kuishi na mwanamke
-anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- hana mvuto mbele za watu
-hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-hana hadhi ya kuwa na mimi
sababu ni nyingi!!

Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.

Sasa hapo nifanyaje wakuu? maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
nmepata feeling mama angu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Ni ngumu kidogo. Kwanza nikupongeze kwa kuwa binti mwenye kujitambua. Unajua kuwa mwanaume wako unaweza kumtengeneza akawa utakavyo japo si kwa %100. Una msimamo na kutojikweza kama wavinti wengine huku kitaa.

Mama yako anaonekana kma mmama flan hivi mkorofi mwenye imani za kiganga. Ni ngumu sana kumbadili. Ila kuna imani huwa tunayo kuwa mzazi hiwa ana hisia flan kwa mtoto wake akihisi jambo linaweza kuwa kweli, hapo mduo ugumu wa kuamua unakuja.

Ushauri wangu, jipeni muda zaidi. Narudia, muda ndio msema kweli siku zote. Miezi mitatu ni michacje sana kuamua uoa au kuolewa na mtu. Hata mimi yalinikuta mwaka jana haya mambo ya kutomchunguza vyema mtu wako.

Wewe ungana no wote bi maza na mshikaji wako. Mfanye bi maza aamini umemwelewa huku wewe ukiendelea na mchizi wako. Mchizi mweleze hali halisi kuwa bi maza anabana hiyo mjipe muda wa kudate chinichini.

Achana na mapenzi ya kujionesha kwa watu, achana na mihemko kwamba lazima iwe mwaka huu. Kama ipo ipo
 
Lazimisha uolewe mkuu. Mwanakulitaka mwana kulipata,mtoto akililia wembe mpe

Yaani umembadilisha mazingira na kila kitu inaonekana jamaa ni mario
Marioo???? uko serious??
mana mimi sina mia ya kusema nmenunua chochote mimi naweka mpango mezani tunapanga tunafanya kwa hela yake
 
Yaan sio mie, bora nichukiwe ila kukubali unafiki hiyo hulka sina kwa kweli. Ukweli nitawaambia haijalishi watanionaje au watanifikiriaje sijali kikubwa mie unafiki nimeukataaa.

Tena kwa jambo langu binafsi ndo kabisaa nitawafurahishaa mbna. khaaaah
Angalia wasije kukupa radhi Mjukuu 😅
 
Msikilize mama acha ubishi na komwe lako kama tumbo la ashaboko
 
Kwa maelezo ya huyu dear, mama ake anataka mkwe mwenye hadhi na uwezo ili awatambie wamama wa wenzie wa mtaani. Sasa km sio nongwa nini? Anashangazaa mnoo.
Maza itakuwa alisharuka na huyo mshikaji. Maisha huwa yanakuja kama mnapambana na mnaelewana na kusikilizana. Sasa anachokitaka huyo Mama ndio hakipo na hakiwezekani
 
Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
  • mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
  • Kwasasa ana biashara zake
-wote tumeishia 0- level kielimu
-anataka kunioa pale nikiridhia

sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- aliwahi kuishi na mwanamke
-anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- hana mvuto mbele za watu
-hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-hana hadhi ya kuwa na mimi
sababu ni nyingi!!

Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.

Sasa hapo nifanyaje wakuu? maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
nmepata feeling mama angu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Pengine mama ashaliwa kimasihara na huyo kijana
 
Inawezekana Mamako aliwahi kuwa na mahusiano na huyo "Mwamba" jaribu chunguza hili.

28yrs na bado Mama hataki uolewe ! Kumbuka huyo jamaa ataishi na wewe na sio Mamayako.
Je, Babako yeye anasemaje juu ya Mahusiano yako na "Mwamba" huyo?
 
Lazimisha uolewe mkuu. Mwanakulitaka mwana kulipata,mtoto akililia wembe mpe

Yaani umembadilisha mazingira na kila kitu inaonekana jamaa ni mario
Nadhani hujamuelewa, ndio maana umeshindwa kumshauri vizuri.

Mwanamke hana kazi wala chanzo cha kipato. Alivyosema kumbadilisha, alibase kwenye kumshauri aache pombe na hiyo bangi.

Na kuhusu kuhama, alimshauri ahamie mbali na hapo. Which means, hela za kufanya hayo yote ni za mwanaume, ila anafatisha ushauri wa mwanamke. Na hata majukumu yake (mwanaume) juu ya huyo mwanamke, anayafanya vizuri tu (according to mwanamke).

Soma tena upya, then mshauri vizuri mdada mwenzako
 
Inawezekana Mamako aliwahi kuwa na mahusiano na huyo "Mwamba" jaribu chunguza hili.

28yrs na bado Mama hataki uolewe ! Kumbuka huyo jamaa ataishi na wewe na sio Mamayako.
Je, Babako yeye anasemaje juu ya Mahusiano yako na "Mwamba" huyo?
Nimemuuliza huyu muhusika Je wanaishi na Wazazi wote wawili? Na vile vile Mama yake inawezekana keshaliwa tayari maana huyo Mama anaonekana ana Uswahili na Ushangingi mwingi mnoo
 
Ni ngumu kidogo. Kwanza nikupongeze kwa kuwa binti mwenye kujitambua. Unajua kuwa mwanaume wako unaweza kumtengeneza akawa utakavyo japo si kwa %100. Una msimamo na kutojikweza kama wavinti wengine huku kitaa.

Mama yako anaonekana kma mmama flan hivi mkorofi mwenye imani za kiganga. Ni ngumu sana kumbadili. Ila kuna imani huwa tunayo kuwa mzazi hiwa ana hisia flan kwa mtoto wake akihisi jambo linaweza kuwa kweli, hapo mduo ugumu wa kuamua unakuja.

Ushauri wangu, jipeni muda zaidi. Narudia, muda ndio msema kweli siku zote. Miezi mitatu ni michacje sana kuamua uoa au kuolewa na mtu. Hata mimi yalinikuta mwaka jana haya mambo ya kutomchunguza vyema mtu wako.

Wewe ungana no wote bi maza na mshikaji wako. Mfanye bi maza aamini umemwelewa huku wewe ukiendelea na mchizi wako. Mchizi mweleze hali halisi kuwa bi maza anabana hiyo mjipe muda wa kudate chinichini.

Achana na mapenzi ya kujionesha kwa watu, achana na mihemko kwamba lazima iwe mwaka huu. Kama ipo ipo
asantee mkuu
ila jamaa anajua kuwa mama hamkubali na inamuuma sana ila ndo hivyo maji kayavulia nguo anayaoga, na mimi haraka sina mana kabla yake niliachana na mtu mwingine yapata miezi6 kabla yake nikatulia tu mimi ni mtu wa kuamini kama ipo ipo tu na kuamini katika Mungu kama nilikaa miezi yote bila mwanaume ambae niliona ananifaa mana walikua wanajitokeza ila eanaume wengi wanataka wapewe tunda wasepe, huyu jamaa nmekaa nae mpaka namhamisha sijaenda kulala nikaanza kulala namgomea asinifanye kitu anakubali yani kama nimpime tu mpaka nikahisi labda sio ridhiki sio niliokubali amefanya fresh tu kwenye swala hilo hamna tatizo kabisa mana walishaanza kusema amekaa hana mke pengine hana nguvu.
mi nmemwambia mama tumwachie Mungu aamue hataki
 
Lazimisha uolewe mkuu. Mwanakulitaka mwana kulipata,mtoto akililia wembe mpe

Yaani umembadilisha mazingira na kila kitu inaonekana jamaa ni mario
Numbisa Mkuu mbona maoni na ushauri wako upo nje ya mada kabisa. Vipi hujambo lakini ?
 
Angalia wasije kukupa radhi Mjukuu [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.

Na mie nilishawaambia unafiki cna, jambo likinikaa hapa hata km ni nyie siwezi kukaa nalo linitafune ndani kwa ndani, wala nalimwagaa, cna kifua cha kuweka unafikii si uhaini wa nafsi huu. Wee kuwezaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maza itakuwa alisharuka na huyo mshikaji. Maisha huwa yanakuja kama mnapambana na mnaelewana na kusikilizana. Sasa anachokitaka huyo Mama ndio hakipo na hakiwezekani
Penginee ukute kweli wakishakulana au anataka awe nae yeye, kwann hataki kutoa sababu za kuelewekaa lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaa vizur na Bi mkubwa wako uongee nae nimewaza nimegundua kunakitu hakipo sawa sababu huwez ku mcrush mtu bila sababu naamini kuna sababu tu mamaako anayo ndomana ana mCrush jamaa yako
Think twice kunakitu hakiposawa either mamaako anamjua huyo kijana kuliko wewe unvyomjua so anajitahidi kukuepusha nae maybe uskute now atakuambia na kukuonyesha kuwa kaacha pombe ila akishakuoa tu ndo balaa litaanza upyaa utaanza kujuta sah sijui utaenda kumlilia mama tena akusaidie wakati alishakuonya na hukutaka kumsikiliza
Lakini mwisho wasiku uamizi ni wako sababu Maisha ni kupanga na kupanga nikuchagua
 
Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
  • mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
  • Kwasasa ana biashara zake
-wote tumeishia 0- level kielimu
-anataka kunioa pale nikiridhia

sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- aliwahi kuishi na mwanamke
-anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- hana mvuto mbele za watu
-hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-hana hadhi ya kuwa na mimi
sababu ni nyingi!!

Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.

Sasa hapo nifanyaje wakuu? maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
nmepata feeling mama angu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Dada jua linakaribia kuzama, mwambie maza hivyo utakuja kulea wajukuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.

Na mie nilishawaambia unafiki cna, jambo likinikaa hapa hata km ni nyie siwezi kukaa nalo linitafune ndani kwa ndani, wala nalimwagaa, cna kifua cha kuweka unafikii si uhaini wa nafsi huu. Wee kuwezaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hizo radhi washanipa sana lakini naendelea shwari kabisaa. Unafiki au kufanyiwa jambo ambalo silipendi au silitaki huwa sikubali nitaruka na mtu yeyote yule.
 
Penginee ukute kweli wakishakulana au anataka awe nae yeye, kwann hataki kutoa sababu za kuelewekaa lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapige threesome sasa yaani kuna wazazi wa hovyo sana hapa Afrika. 😆
 
wewe uko ndani ya game yaani na bado upo foolish age ,nyege kibao .

Mzazi wako ana experience na ni kama kocha kwa nje anajua wapi afanye marekebisho sasa wew leta ujuaji , Ndoa sio kitoto .

Mtu anatumia mavitu ya ajabu we unaona bado yupo sawa kweli🤔
 
Back
Top Bottom