Mama hamtaki Mpenzi wangu

Kumbe mimi na haka ka degree kangu ni dili sana mtaani sio?..
 
wasichoelewa wengi mimi sifosi ndoa
wala chochote mimi nataka mahusiano yangu nifanye mambo yangu kwa amani.. mpaka ntakapoona sasa tusonge mbele ya kubadilika yamebadilika, ya mapungufu nmeweza kuyavumilia sasa naweza piga hatua ndo hapo sasa itakua rasmi na maushauri kama haya nipewe.
ila sasa mama amekua kama kipa alie utokea mpira katikati ya uwanja manake haujafika hata golini.. yani yeye ndo anapeleka mambo mbele
 
Tatizo wazazi wa kibongo ni miungu watu na wanaamini wako sahihi kila jambo.

Miaka 28 ilibidi uwe unamwelekeza mwanao ona sasa ndo kwanza unapangiwa maisha.

Wewe olewa
 
Thanks
mama ni wale wamama wanacontrol mambo, Sitapenda aolewe na mtu wa hovyo ila mimi nmeishi maisha yakutosikilizwa hilo limenifanya nitamani sikumoja nikipata mtoto chochote atakachofanya akiwa mtu mzima ntamuuliza kwanini unafanya haya, umepitia nini na zipi sababu?? akisema ntajua kwanini anafanya anachofanya kabla sijamhukumu na ntampa muda kwasbabu ukitaka Mungu atende sawasawa na mapenzi yake inabidi usubiri kisicho chako huwa hakidumu
 
tatizo mna complicate mambo wapi nmesema naolewa???
nani kakwambia nna nyege??
kwahiyo ushauri wako katika yote nilioongea umeona useme hivyo
 
Mleta mada naomba nikuuluze,hivi kama ungekuwa "umesoma" huyo jamaa usingemkubalia sio?
 
Mimi hizo radhi washanipa sana lakini naendelea shwari kabisaa. Unafiki au kufanyiwa jambo ambalo silipendi au silitaki huwa sikubali nitaruka na mtu yeyote yule.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna utofauti wa siri, na unafikii babu unachanganyaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
dah sawa basi kuwa na msimamo mwenye maamuzi ya mwisho ya maisha yako ni wewe mwenyewe mama kaamua kuwa mshauri mkuu tu
 
nilishawahi kukutana na situation kama hiii aisee mamkwe alidai natumia pombe na bangi ila mke wangu aliniamini na kunipenda
kufupisha tu story mama mkwe ananitegemea na anajutia aliyokuwa anayasemaisee ni miaka kumi sas
Mungu awazidishie zaidi.
Tatizo Huwa mnaongea sana na wazazi wenu Hadi mnakosea
Yani afadhali ningekua namwambia yani kayajua tu mwenyewe
Sawa mwali wetu mtarajiwa follow your heart but also take your brain with you

Kila.la heri dia 😘😘
Thanks Dada
mi kuna vitu nmeona kwake ila nikisema ntaambiwa mpenzi yamenipofua kama mama anavyosema kijana kaniroga .. ila ngumu kuachana na mtu unaeamini kipo kitu ndani yake pia ngumu kutomsikiliza mzazi ndo mana niko njia panga japo mi nmeweka wazi kuwa hata akifanyaje madamu sijazaa nae wala hajanioa hata nikigundua jambo tukaachana its okay sio jambo la ajabu kwangu mana maisha ni kusonga mbele kwa mbele siwezi kuacha kuchukua chance au kujaribu kisa tutaachana au yatanikuta makubwa, mi nmechukua tahadhari zangu mengine namuachia Mungu ila mama hataki haelewi
Samahani princess ariana mnaishi na Baba au ni single parent family? Hapo kuna kitu hakipo sawa kwa Mama yako na inawezekana kama familia yenu ni single parent family huyo Mama yako nae ana hisia za kimapenzi kwa huyo mwanaume wako.
wala baba yupo, sema mama angu ni mtu wakucontrol mambo hata baba huwa haongei sana mana akiamua jambo mama kaamua
siku akiamua kutucharukia na baba anatucharukia haswa.. mzee wangu yeye huishia kusema mama ako anazeeka vibaya! na hili swala wala halijui na simwambii mana sinafikia hatua hizo za kutambulisha.
ubaya mama ndo mkubwa kwao, wajomba wamezaliwa mwishoni japo kwasasa sioni sababu ya kuanza kumpanga mjomba.. kinchoniudhi ni kuniingilia tu
wakati ukifika ntamtafuta mjomba kama nikijiridhisha kwamba huyu ndiye
Asante ndugu yangu msiache kunipa ushauri mana nmekwama sana na hii njia panda mana hao anaowataka nimepita huko ila mwisho wanaanza oh hujasoma oh kwenu kawaida sana sioi ila mtoto wa watu kajicommit ndo kama hivyo
Sio rahisi kuongea kwa ukali na Bi Mkuwa au Mzee, unahitaji busara mno kuweza kuongea naye vitu ambavyo tayari wana majibu yao
we acha tu
Kama mama anataka mme msomi mwenye hela na hadhi angemwandaa alafu akuozeshe .miaka 28 unasubiki msomi na mwenye hale itafika hatua utasema yoyote ilimradi mradi awe anapumua
Ndo nmesema basi anitafutie ndo nimuachd huyu...anasubiri tuolewe na wasomi ambao wanataka wasomi wenzao na wenye kazi zao sisi tunaonekana failure haijalishi una nini ndani yako
 
28 ni foolish age??..

Hii mpya hii
 
mi pia naona kuna jambo liko nyuma ya pazia mana kila nikipangua sababu inakuja mpya
mpaka nmemuuliza kijana au nyie mna yenu usikute mlikutana kwa waganga au mnawanga !! akasema hapana
nikamwambia au kuna mtu anachekecha mfumo huu uyumbe?? mana naona sielewi mkazo alio nao mama ni mkubwa kwa mahusiano ambayo kwa sasa hayajafika huko kwa kuoana
 
Pole sana Miss ushauri wangu Wewe simamia kile unachokiamini na hakuna kitu kinachodumu kama hakina changamoto. Hizo ni changamoto tu na hawa Mama zetu wa kiswahili wana shida sana. Yameshanikuta mengi sana na Mama mzazi tena ni magumu mno, nikaamua kukaa Kimya tu na kuendelea na mambo yangu. Mbona yeye mwenyewe alijigundua kanikosea sana na akaniomba sana msamaha. Na mimi huwa sihifadhi chuki moyoni maana chuki ni uchafu wa roho. Endelea na mshikaji wako kama kawaida na kama una nafasi kila Jumatatu na jumatano uwe inasikilizwa radio TBC taifa kuanzia saa 5 usiku utafaidika na mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…