Mama hamtaki Mpenzi wangu

Mama hamtaki Mpenzi wangu

Hata mimi nisingekuozesha yaani mwanaume an a kunywa pombe, bangi ,sigara mie hapana wanakuaga malaya mno

Afu pia wewe umeishia olevel na yeye olevel watoto wenu nani atawafundisha? Tafta hata mkaka mwenye diploma mtoto enu awe inspired kusoma kwa bidii

Usitangulize hisia mbelembele
Moja ya comment ya hovyo kabisa! Kupata kuisoma Jf tangu mwaka uanze......

Nani kakudanganya elimu inahusika kwenye mapenzi?
 
kumbe! mwanamke anapenda mwanaume awe angalau amepiga hatua kidogo mbele yake.
 
Moja ya comment ya hovyo kabisa! Kupata kuisoma Jf tangu mwaka uanze......

Nani kakudanganya elimu inahusika kwenye mapenzi?
Mkuu mimi na wewe hatufanani, mi nimecomment kulingana na mtazamo wangu and Yes you are allowed to agree and disagree the room is yours
 
How elezea

Ila kwangu mimi there is NO room kwa.mwanaume mnywa oombe, mvuta sigara au bangi

Kuhusu elimu walau nakubali mwenye ordinary diploma na yenyewe kishingo uplande labda uwe na hamu ya kujiendeleza

So i adviced her according to my point of view
 
Kwa ulevi na sigara sawa ila kwa hayo mengineyo nakupinga.

Usijidanganye dear kumbuka muoaji ndio anajua anamuoa nani sio muolewaji. Si ajabu huyo kaka na utayari wake wote akipewa go ahead akapiga u turn Moja hiyo ikamuacha Dada wa watu kwenye maumivu makali na majuto.
Angalia na uhalisia
 
Mama anataka amtumie binti yake kama kitega uchumi cha yeye kutoboa maisha mazuri ambayo ameshindwa kumtengenezea binti yake.
Wazazi watambue kama hawakuwekeza kwa watoto wao basi watarajie watoto wao kukutana na wanaume wenye hadhi hiyo hiyo
 
Kwa ulevi na sigara sawa ila kwa hayo mengineyo nakupinga.

Usijidanganye dear kumbuka muoaji ndio anajua anamuoa nani sio muolewaji. Si ajabu huyo kaka na utayari wake wote akipewa go ahead akapiga u turn Moja hiyo ikamuacha Dada wa watu kwenye maumivu makali na majuto.
Angalia na uhalisia
Ni sawa pia ila mi ndo napenda hivo
 
Case yako ni complicated,Maana wa mama nao huwaga na jicho la kuona mbele sana,Ila pia sometimes wanakosaga utu na kupenda tuolewe na wanaume wenye stutus na pesa hata Kama hatuwapendi,kupeana maumivu tu kuishi na mtu usompenda kisa mama
Pia wamama ambao hawajaolewa au wanaoishi kisingo Maza huwa hawapendi watoto wao kuolewa au kuwa na ndoa za amani au kama ndoa yake ilikua na matatizo.
 
Back
Top Bottom