princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #321
mi hapo ndo nachoka jamaniMtu mzima mnoo kulingana na matendo yake...
Umri mkubwa mambo yake ya kitoto[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi hapo ndo nachoka jamaniMtu mzima mnoo kulingana na matendo yake...
Umri mkubwa mambo yake ya kitoto[emoji848]
sawaUongoo
ndioNimeishia uliposema anavuta bangi. Kwa hiyo mpenzi wako mvuta bangi?
Moja ya comment ya hovyo kabisa! Kupata kuisoma Jf tangu mwaka uanze......Hata mimi nisingekuozesha yaani mwanaume an a kunywa pombe, bangi ,sigara mie hapana wanakuaga malaya mno
Afu pia wewe umeishia olevel na yeye olevel watoto wenu nani atawafundisha? Tafta hata mkaka mwenye diploma mtoto enu awe inspired kusoma kwa bidii
Usitangulize hisia mbelembele
Una experience na wavuta bangi?bangi zikipanda utaweza kumudu vurugu zake?ndio
yeahUna experience na wavuta bangi?bangi zikipanda utaweza kumudu vurugu zake?
usimpuuze mama ana hoja,hasa kwenye kuvuta bangi na pombe kama ni kweli
wewe unaijua bangi zaidi sio, basi hongera kwa kutumia kitu ambacho hakileti chooBangi ina shida gani?? Kama hujui lolote kuhusu bangi ni bora ukanyamaza
Sasa hapa bangi inahusikaje!? mnaionea tu hakuna watu wenye maono.... kama wanaotumia mjaniPOMBE na Bangi HUWA hawaachi wanatuliza tu baadae wanarudi kwenye asili yao!!
wewe unaijua bangi zaidi sio, basi hongera kwa kutumia kitu ambacho hakileti choo
Sasa hapa bangi inahusikaje!? mnaionea tu hakuna watu wenye maono.... kama wanaotumia mjani
kumbe! mwanamke anapenda mwanaume awe angalau amepiga hatua kidogo mbele yake.Hata mimi nisingekuozesha yaani mwanaume an a kunywa pombe, bangi ,sigara mie hapana wanakuaga malaya mno
Afu pia wewe umeishia olevel na yeye olevel watoto wenu nani atawafundisha? Tafta hata mkaka mwenye diploma mtoto enu awe inspired kusoma kwa bidii
Usitangulize hisia mbelembele
NAAM! NAKAZIA!Hawajui kitu hawa! Achana nao wakapitie Report ya WHO kuhusu weed
Mkuu mimi na wewe hatufanani, mi nimecomment kulingana na mtazamo wangu and Yes you are allowed to agree and disagree the room is yoursMoja ya comment ya hovyo kabisa! Kupata kuisoma Jf tangu mwaka uanze......
Nani kakudanganya elimu inahusika kwenye mapenzi?
How elezeaWrong
Kwa ulevi na sigara sawa ila kwa hayo mengineyo nakupinga.How elezea
Ila kwangu mimi there is NO room kwa.mwanaume mnywa oombe, mvuta sigara au bangi
Kuhusu elimu walau nakubali mwenye ordinary diploma na yenyewe kishingo uplande labda uwe na hamu ya kujiendeleza
So i adviced her according to my point of view
Ni sawa pia ila mi ndo napenda hivoKwa ulevi na sigara sawa ila kwa hayo mengineyo nakupinga.
Usijidanganye dear kumbuka muoaji ndio anajua anamuoa nani sio muolewaji. Si ajabu huyo kaka na utayari wake wote akipewa go ahead akapiga u turn Moja hiyo ikamuacha Dada wa watu kwenye maumivu makali na majuto.
Angalia na uhalisia
Pia wamama ambao hawajaolewa au wanaoishi kisingo Maza huwa hawapendi watoto wao kuolewa au kuwa na ndoa za amani au kama ndoa yake ilikua na matatizo.Case yako ni complicated,Maana wa mama nao huwaga na jicho la kuona mbele sana,Ila pia sometimes wanakosaga utu na kupenda tuolewe na wanaume wenye stutus na pesa hata Kama hatuwapendi,kupeana maumivu tu kuishi na mtu usompenda kisa mama