Mama hana makosa, huo ndo uwezo wake. Wasaidizi wamempotosha Ili wafaidike na uwezo wake

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
sitaki kuamini amekubali mwenyewe akutwe na haya

Mama alianza vizuri sana akiwa na msimamo wake mwenyewe na huku akichuja Kwa umakini ushauri ,
Miaka michache ingetosha kuweka historia yake vizuri Kisha kuweka uwanja sawa wa mafahali wawili .

Huku akifurahia pensesheni yake yeye na mwenzi wake .

Baadhi ya wasidizi maslahi na maadui wa taifa hilli ,
wakamsoma Kwa makini na kuelewa udhaifu wake .

Wakampeleka kwenye njia Yao kupitia kijana mwenye tamaa
Wakamwimgiza kwenye control Yao

HATUNA hofu na mama tuna hofu na walioko nyuma yake
Hutujui kesho watamtumia Kutufanyaje watanzania

Wamechangia mabilion atawakemeaje wakikwepa Kodi

HATUNA jinsi inabidi tumsaidie mama atoke kwenye mtego Kwa kuachia kiti asiumie mtegoni

Wasidizi maslahi wameleta aibu kubwa Kila taasisi inayojaribu kutetea aibu inaongeka

Kwanini mmefanyia mama wa watu hivyo jamani
 
Mama ana makosa na makosa yake ni kukubali kupotoshwa na kukosa uwezo wa kufikiri na kuamua vizuri. Kwani, wanamlazimisha kusikiliza au kufuata ushauri wao mbovu kama yeye siyo mbovu?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
HATUNA hofu na mama tuna hofu na walioko nyuma yake
Hutujui kesho watamtumia Kutufanyaje watanzania
Usiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.

Hivyo tukimpa tena, hii mitano tena, anakwenda kunyoosha, October 29 tukampe anyooshe.
P
 
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye saratani inayoitafuna Tanganyika yetuView attachment 3490804View attachment 3490806
Kikwete ni mstaafu, hayupo madarakani, kumshambulia hivi yaweza kutafsiriwa kama chuki binafsi.
Ni raia kama raia wengine akiwa na hadhi ya Rais mstaafu.
Aliwaachia wengine madaraka Miaka kumi iliyopita.
Ushauri wake kwa walio madarakani waweza kupotezewa tu.
 
Usiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.

Hivyo tukimpa tena, anakwenda kunyoosha, October 29 tukampe anyooshe.
P
Hahaaa
Hii ni sawa na kushtuka dada wa kazi kudokoa mboga
Ni sawa na umbea
 
Kiongoz ukipoteza control Bora kuachia TU kiti maana mema watkula wenye control
Mabaya yote watakubebesha wewe

Ona mama wa watu walivyochafua mpaka Kwa majiani zake

Baada ya hayo yote Nini atafaidika nacho

mkuu unafikiri unaamua tu kuacha kirahisi? mifumi ya kisiasa ya kiafrika/ ccm ni hatari sana.
 
Wacha kutetea wizi na uhuni.
Kuna kashfa nyingi zina direct connection ya yeye mwenyewe. Unatetea vipi hapo sasa?
 
Usiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.

Hivyo tukimpa tena, hii mitano tena, anakwenda kunyoosha, October 29 tukampe anyooshe.
P
Daaah tunasafar ndefu
Nilisema na ntasema hakuna mtu mwenye miaka zaid ya 40 mwenye uchungu na taifa lake
 
Back
Top Bottom