Mama hana makosa, huo ndo uwezo wake. Wasaidizi wamempotosha Ili wafaidike na uwezo wake

Mama hana makosa, huo ndo uwezo wake. Wasaidizi wamempotosha Ili wafaidike na uwezo wake

Hata yeye mwenyewe anahusika kwa kiasi kikubwa. Tayari ameshaonja utamu wa damu za watu lazima aendelee kunywa la sivyo alipe fidia !
 
Mama kaingizwa chaka maiaka 5 umakamua miaka 4 Rais aya tena 5 rais kweli hapana wanamtumia vibaya
 
Mama ajiandae tu, mwisho wake mbaya, ila pia imesaidia kuona na kujua mtandao wa wahuni wazi wazi, tumewajua maadui wa Taifa, na ametusaidia kuona umuhimu wa katiba mpya hata kwa wanaccm wenzake…Taifa limepata somo, meza ikipinduka lazima wote tutaongea lugha moja ya Katiba mpya.
 
Kama Mama alijijua uwezo wake ni mdogo kwanini aliacha kufanya mambo kupitia vyombo vilivyowekwa kimamlaka?

Alipokosea ni pale nafasi ya Urais kuruhusu iendeshwe na wanafamily wake that was a very big mistake .

Unadhani yule wasijui machengerwa anacapacity ya kuhandle pressure ya taifa yule zaidi utanikoma nyingi .

Mama na washirika wake wacha wakinywee
 
Huu ndo moja ya ujinga na upumbavu wa baadhi ya Watanzania!

Sijui kwa nini tu watu huwa wanamuona raisi wa Tanzania kuwa ni malaika asiye na makosa yoyote yale au asiyeweza kutenda makosa!

Na ndo maana huyo Samia alidiriki kusema hadharani kuwa Rais hakosei.

Kila Rais anapokosea, lawama zinawaendea wasaidizi au washauri.

Hii nchi sijui wastani wake wa IQ ni kiasi gani tu.

Sitoshangaa kama wastani wa IQ za Watanzania ni 5.

Huyo Samia hata akijamba makusudi hadharani mtampatia udhuru na kuwalaumu wasaidizi wake.

Kwenye nchi zilizoendelea Rais au kiongozi akiharibu anapewa lawama anazostahilk.

Kwenye hii nchi ya kijuha rais akiharibu lawama zinaenda kwa wasaidizi au washauri wake.

Hali ya kiuchumi tuliyonayo si bahati mbaya. Ina sababu zake….
 
Usiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.

Hivyo tukimpa tena, hii mitano tena, anakwenda kunyoosha, October 29 tukampe anyooshe.
P
Bora ujikalie kimya!
 
Huu ndo moja ya ujinga na upumbavu wa baadhi ya Watanzania!

Sijui kwa nini tu watu huwa wanamuona raisi wa Tanzania kuwa ni malaika asiye na makosa yoyote yale au asiyeweza kutenda makosa!

Na ndo maana huyo Samia alidiriki kusema hadharani kuwa Rais hakosei.

Kila Rais anapokosea, lawama zinawaendea wasaidizi au washauri.

Hii nchi sijui wastani wake wa IQ ni kiasi gani tu.

Sitoshangaa kama wastani wa IQ za Watanzania ni 5.

Huyo Samia hata akijamba makusudi hadharani mtampatia udhuru na kuwalaumu wasaidizi wake.

Kwenye nchi zilizoendelea Rais au kiongozi akiharibu anapewa lawama anazostahilk.

Kwenye hii nchi ya kijuha rais akiharibu lawama zinaenda kwa wasaidizi au washauri wake.

Hali ya kiuchumi tuliyonayo si bahati mbaya. Ina sababu zake….
Ukiondoa uchaguzi wa October 29th , nini kifanyike kwake yeye kuonyesha kwamba amewakana na kuwageuka hao wasaidizi wake.

Pia kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, nini afanye kuhusu vitendo vya ukatili vinofanywa na vyombo vya serikali dhidi ya watanzania?
 
Kwa damu zilivyo mwagwa, kashfa nzito kwel kwel za mtoto wake na akiwemo yeye mwenyewe, hakuna hatua atakayochukua Watanzania wakamuelewa zaidi ya yeye kujiuzulu…mbali na hilo tutaona anafanya maigizo…you can never solve a problem if you are the problem.
 
Kikwete ni mstaafu, hayupo madarakani, kumshambulia hivi yaweza kutafsiriwa kama chuki binafsi.
Ni raia kama raia wengine akiwa na hadhi ya Rais mstaafu.
Aliwaachia wengine madaraka Miaka kumi iliyopita.
Ushauri wake kwa walio madarakani waweza kupotezewa tu.
Mkuu kama hujui uharibifu wa huyu mstaafu wa kukenua kenua basi pole sana.
 
Write your reply...kinacho wauma viongozi wote wakuu wastaafu upande huo wa makafili wamekufa sasa wanaona wivu kwa upande ule safi kubaki na mstaafu mmoja na alie madarakani mmoja. Makafiri mna taabu sana na roho ya choyo na ubaguzi
 
Kwa damu zilivyo mwagwa, kashfa nzito kwel kwel za mtoto wake na akiwemo yeye mwenyewe, hakuna hatua atakayochukua Watanzania wakamuelewa zaidi ya yeye kujiuzulu…mbali na hilo tutaona anafanya maigizo…you can never solve a problem if you are the problem.
Natamani niandike kwanini Mange Kimambi na wale wanojaribu kuwa "Influencers" bado hawajawa "connected" na uwanja wa vita, ila nadhani hii niiweke kwa siku ingine.

Usione yale ya Nepal, Madagascar na yaani Arab Spring na Asia Spring yataweza kuchagiza kwa Gen Z wa Tanzania. Pia lazima uelewe kwanini Paul Bia atatangazwa mshindi kule Cameroon hata kama mpinzani wake kajitangazia ushindi.

Na pia ni lazima ufahamu ni kwanini Afrika ni tofauti kwa Tanzania na pia uelewe tofauti kati ya Tanzania na Niger, Mali au Burkina Faso.

Ni lazima uwe na blue print ya "Plan", Debate and Organise kupitia platforms zipi na hizo platforms ni lazima ziwe na ulinzi wa kutosha kama VPN ili kuweza kuepuka phone tracking ya so called Mafwele and company.

Sisemi kwamba haiwezekani lakini bado wahitaji ile kitu twaita "context of protest" ikiwa imejaa kwenye chungu basi hakuna namna hata wa Madagascar alielewa somo.

Pia ni kwa namna gani watumia hizi platforms kama vile Discord kujadili namna ya kuondokana na matatizo yaliyopo na si tu kutegemea Space na You Tube ambazo zenyewe (nyuma ya pazia) zingiza pesa kupitia followers.

Hivyo kama X imefungwa au kuna limitations kwenye YouTube na TikTok je watumia njia ipi zingine?
 
Kikwete ni mstaafu, hayupo madarakani, kumshambulia hivi yaweza kutafsiriwa kama chuki binafsi.
Ni raia kama raia wengine akiwa na hadhi ya Rais mstaafu.
Aliwaachia wengine madaraka Miaka kumi iliyopita.
Ushauri wake kwa walio madarakani waweza kupotezewa tu.
Ni sawa kastaafu. Lakini kastaafu Urais tu bado anang'ang'ania Madaraka ndani ya Chama na Serikalini.

Magu aliwahi kutamka hadharani kuwa Viongozi wastaafu "wanawashwawashwa" kisha akanpiga pini kwenye utawala wake.

Kwa kifupi ni mtu mwenye tamaa na ni mlafi mno.
 
Kkuruhusu mtu ambaye Hana uwezo kuongoza nchi ni kuifanyia nchi majaribio
 
Back
Top Bottom