Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Kwanini ukubali sasaWanao mlaumu mama Abdul waangalie vizuri mfumo wa ccm watagundua kitu
Anafaidika na fedheha, kiuitwa Idd Amani mama ni fedhehaKiongoz ukipoteza control Bora kuachia TU kiti maana mema watkula wenye control
Mabaya yote watakubebesha wewe
Ona mama wa watu walivyochafua mpaka Kwa majiani zake
Baada ya hayo yote Nini atafaidika nacho
Sikiliza hotuba ya Kikwete utagundua hata mama alikuwa hataki kuendelea ni kama walimlazimisha kutokana na tamaduni zao huko chamaniKwanini ukubali sasa
Huoni makamu na pm watabki walau na heshimu
This no good at all kuna walioshangilia kifo cha magu wamepata nini hadi saiziJakaya Mrisho Kikwete ndiye saratani inayoitafuna Tanganyika yetuView attachment 3490804View attachment 3490806
Kikwete ni adui wa Tanganyika hivyo akifa ni nafuu kwa Tanganyika kama hulioni hili shauri yakoThis no good at all kuna walioshangilia kifo cha magu wamepata nini hadi saizi
Mama ana makosa na makosa yake ni kukubali kupotoshwa na kukosa uwezo wa kufikiri na kuamua vizuri. Kwani, wanamlazimisha kusikiliza au kufuata ushauri wao mbovu kama yeye siyo mbovu?sitaki kuamini amekubali mwenyewe akutwe na haya
Mama alianza vizuri sana akiwa na msimamo wake mwenyewe na huku akichuja Kwa umakini ushauri ,
Miaka michache ingetosha kuweka historia yake vizuri Kisha kuweka uwanja sawa wa mafahali wawili .
Huku akifurahia pensesheni yake yeye na mwenzi wake .
Baadhi ya wasidizi maslahi na maadui wa taifa hilli ,
wakamsoma Kwa makini na kuelewa udhaifu wake .
Wakampeleka kwenye njia Yao kupitia kijana mwenye tamaa
Wakamwimgiza kwenye control Yao
HATUNA hofu na mama tuna hofu na walioko nyuma yake
Hutujui kesho watamtumia Kutufanyaje watanzania
Wamechangia mabilion atawakemeaje wakikwepa Kodi
HATUNA jinsi inabidi tumsaidie mama atoke kwenye mtego Kwa kuachia kiti asiumie mtegoni
Wasidizi maslahi wameleta aibu kubwa Kila taasisi inayojaribu kutetea aibu inaongeka
Kwanini mmefanyia mama wa watu hivyo jamani
Usiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.HATUNA hofu na mama tuna hofu na walioko nyuma yake
Hutujui kesho watamtumia Kutufanyaje watanzania
Kikwete ni mstaafu, hayupo madarakani, kumshambulia hivi yaweza kutafsiriwa kama chuki binafsi.Jakaya Mrisho Kikwete ndiye saratani inayoitafuna Tanganyika yetuView attachment 3490804View attachment 3490806
HahaaaUsiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.
Hivyo tukimpa tena, anakwenda kunyoosha, October 29 tukampe anyooshe.
P
Kiongoz ukipoteza control Bora kuachia TU kiti maana mema watkula wenye control
Mabaya yote watakubebesha wewe
Ona mama wa watu walivyochafua mpaka Kwa majiani zake
Baada ya hayo yote Nini atafaidika nacho
Watu mmepinda sana😂Jakaya Mrisho Kikwete ndiye saratani inayoitafuna Tanganyika yetuView attachment 3490804View attachment 3490806
Daaah tunasafar ndefuUsiwe na wasiwasi, Mama keshaanza kuamka na kuwashtukia, kuna issues za Katefoni alishtukia kitambo akamteulia msaidizi na akamzuia kugombea tena!. Kuna issues fulani za yule mdada wa mapingili kule waja leo warudi leo, baada ya kumshtukia amepiga chini jumla kama alivyopiga chini Marope.
Hivyo tukimpa tena, hii mitano tena, anakwenda kunyoosha, October 29 tukampe anyooshe.
P