Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco

Umerudi tena kutafuta uteuzi, hovyooooooooooooooooooooooooooo
 
Nimefungua mbio kusikiliza nikakuta hola
Pasco huwa anajenga hoja zake kwa kuzunguka sana.
Hayuko direct, na hili linakosesh mvuto fulani.
Mada inaanza kama gari lililo tambarare, halafu kupanda Kitonga na kupinda pinda halafu kuishia misituni!
Calling a spade, a spade ni jambo jema, wengine ndio wakujazie nyama.
 
shida ni hii katiba tuliyonayo. imetengeneza mazingira ya watu kuwa wanafiki na kujipendekeza sana kwa mkuu wa nchi ili awakumbuke kwenye teuzi.

siku tukipata katiba mpya ambayo itampunguzia madaraka ya kiutezi rais, nchi itakuwa na machawa wachache sana wa kisiasa.
Hapo ndipo niliposema nchi hii inapozwa na sisi wananchi.
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco
Atakutafuta ili umsahidie
 
Itaendelea.... hapa Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

Pasco

Nalitafakari bandiko hili, kuna kitu nilitaka kukisema, sikukisema, labda one day nikakisema...
P
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
HBD Rais Samia!.
P
 
Wanabodi,

Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea.... hapa Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

Pasco

Mkuu Pascal Mayalla , hivi Form two hukusoma topic ya summarization/ paraphrasing?
Mkuu Jiko, Jiko Koa , karibu mitaa hii
p
 
Back
Top Bottom