Mama Iman wa Open Kitchen

Mama Iman wa Open Kitchen

Aki mwanamke ni zaidi ya muonekano Wa nje....ila haihitaji kujionesha Instagram(in Dai's voice,I insist, HAPENDEZI
i think lets focus kwenye kile anafanya kitupe furaha, kuhusu hayo anafanya kujipa yeye na mumewe furaha (pamooja na kurusha picha insta) sidhani kama ni muhimu sana!!
let Upendo be Upendo jamani!!
 
Labda ana mke mwenza wanashindana nani nani.

Au katoka kamata mwizi wake

Habari ndio hio,ukisoma comments kwa sinta inaonyesha kuna mtu anaugomvi nae yeye anatumia Insta kuprove her marriage is okei
She is trying so much to prove it inaonyesha hana furaha
Kuna kipindi alifuta pic zote za mumewe na akawa anarusha vijembe
Mungu kamjaalia mkono wa kupika hilo salute na anajikubali mwenyewe na ubonge wake....
 
Aki mwanamke ni zaidi ya muonekano Wa nje....ila haihitaji kujionesha Instagram(in Dai's voice,I insist, HAPENDEZI

Roho yake imeamua account yake atajiju na anavyoshi kiukweli anajua moyoni mwake.
 
Habari ndio hio,ukisoma comments kwa sinta inaonyesha kuna mtu anaugomvi nae yeye anatumia Insta kuprove her marriage is okei
She is trying so much to prove it inaonyesha hana furaha
Kuna kipindi alifuta pic zote za mumewe na akawa anarusha vijembe
Mungu kamjaalia mkono wa kupika hilo salute na anajikubali mwenyewe na ubonge wake....

Naikumbuka Sana hii incidence, Alifuta pics zote...Namtakia kheri though....
 
Me nikiangalia tu anavyopika mahanjumat afu nikicompare na michemsho yangu, nabaki tu kubatasamu
Unaweza nieleza vyakula vyake vina maajabu gani. Ule uzi wa juzi wakati wanamsema nikaingia IG kumfahamu, nikakuta anapika mapishi ya kawaida sana. Mtu anapost michicha, burger za kawaida, mishikaki, mchemsho wa nyama anaoneakana fundi. Sioni maajabu mbona.
Heaven Sent
 
Habari ndio hio,ukisoma comments kwa sinta inaonyesha kuna mtu anaugomvi nae yeye anatumia Insta kuprove her marriage is okei
She is trying so much to prove it inaonyesha hana furaha
Kuna kipindi alifuta pic zote za mumewe na akawa anarusha vijembe
Mungu kamjaalia mkono wa kupika hilo salute na anajikubali mwenyewe na ubonge wake....

Kaolewa na mwanae (ben10) sasa hakuna cha Baba Imani wala masaji kupendana kumbe alikua anafukia mashimo
 
msicomment kuhusu watu kuwa mnawajua!!
huyo ana hela toka mamake anabeba mim a ya kuzaliwa yeye!!!
kwa taarifa zaidi uliza nini maana ya kuwa na duka la duty free Airport miaka ya Tisini!!!
Kuna watu wanajiona wao walivyoshika pesa uzeeni Basi na wengine vivyo hivyo..😂😂😂
 
Yule dada ana mkono wa kupika; sijui hata nikuelezeje
Unaweza nieleza vyakula vyake vina maajabu gani. Ule uzi wa juzi wakati wanamsema nikaingia IG kumfahamu, nikakuta anapika mapishi ya kawaida sana. Mtu anapost michicha, burger za kawaida, mishikaki, mchemsho wa nyama anaoneakana fundi. Sioni maajabu mbona.
Heaven Sent
 
Wallah Huyu Dada Anapika na Ni Hardworking (Kwa Hill Namsifu)Then Pamoja Na Ubonge Wake A see Anajua Kucheza Muziki Mzuri...

Let's get back to the point, ananiudhi huyi huyu Dada,You know kuna vitu ukiwa Bonge Sana Kama Mimi na Yeye(😂😂😂&#128514😉hutakiwi kuvifanya,Kuweka picha za Mashauzi Instagram Eti Mara Anafanyiwa Massage na mmewe,Mara Wanaoga,Mara Afanyiwa Pedicure,I hate That,Acha Mama Iman,You Don't Have to prove to people that you are in a Happy Marriage,Only you,your heart and your partner know...

Nakupenda though..am not a hater,ila am telling you watu wanakuchora na wanakusifia kichina..#okbye
Huu ujumbe ni wa mwaka gani? Watu wanaona mbali sana....
 
Back
Top Bottom