Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na kumwambia awe na subira na kuwa atavumilia yote ya dunia lakini atakuwa mwane mwanzo mwisho mapaka anaingia kaburini na kusisitiza alikuwa akimpenda sana



 

Hivi kati ya Mama Mkwe na Mwenye Mume nani anapashwa Kulia na Kusikitika sana? Anyways R.I.P Ndikumana na poleni nyote mlioguswa na Msiba huu mzito kabisa.
 
Mama anaona mbali, anahisi mwanae anaweza patwa na majanga, hasa kama alikufa kama hawapo in good terms. Au labda analia mjukuu atatunzwa na nani?

Hivi kati ya Mama Mkwe na Mwenye Mume nani anapashwa Kulia na Kusikitika sana? Anyways R.I.P Ndikumana na poleni nyote mlioguswa na Msiba huu mzito kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…