Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

a42bd268b7259e60f5d601c8857e89b5.jpg
 
[QUOwarumi, post: 24442314, member: 141128"]Tamaa ya kuoa wanawake wazuri, ila irene uwoya ana gharama kubwa ya kulipa, hawezi kuwa na amani maisha yake yote karma is a bitch[/QUOTE]
Ila bina ndiku alijitakia mwnyw.......unaanzaje kuoa Malaya kiwango cha daraja la kwanza unaacha watoto wa kinyalu.apumzike kwa amani
Mtoto wake mwnyw atamsuta ipo siku
 
Mapenzi ya Irene na ndiku si yalishaisha zamani.?.
Na wakaamua kuachana. Leo kaolewa na mwingine.
Kosa la Irene liko wapi?
Kama ndiku alikuwa bado anampenda Irene. Mpaka ikapelekea kupata ugonjwa wa moyo
ILO NI KOSA LA NDIKU.
 
Hapa ndio naelewa kwanini ndoa ya irene na dogo janja haikufanyika nyumban kwa kina irene..hii ndoa haikua na baraka za wazaz wa irene..daah
R.i.p baba krish
Pole mama
 
Hivi kati ya Mama Mkwe na Mwenye Mume nani anapashwa Kulia na Kusikitika sana? Anyways R.I.P Ndikumana na poleni nyote mlioguswa na Msiba huu mzito kabisa.
Anayepaswa kulia na kusikitika ni yeyote alieguswa zaidi na huo msiba haijalishi mama ni mama mkwe au mwenye mume.... Hujakutana na ile unakuwa na uhusiano na mwanamke, baadaye mnaachana kwa ugonvi mkubwa kabisa lakini ndugu zake wanakuwa upande wako na wanaendelea kukuheshimu.
 
Asa hii akiiona Dogo wa Ngarenaro atajisikiaje?
mm nasema Dogo janja ni MJINGA SANA
alipomuoa Irene kwanini alimpigia Ndikumana simu
anajiona kaWIN sana,
naye yatamkuta
mwenzake katangulia haijulikani nani atafuata
lakini Irene kafuata pesa za Dogo zikiisha anasepa zake
sasa hapo ndio tutajua nani anafuata
 

  • Mama Irene Uwoya Amlilia Marehemu NdikuMana Asema alikua Rafiki, mtoto wa Familia, alikua Mkwe Kipenzi.
  • Mama yake mzazi na Irene Uwoya amekipokea kifo cha [HASHTAG]#Ndikumana[/HASHTAG] kwa majonzi makubwa. Anadai pamoja na kuachana na binti yake, bado alimchukulia kama mwana
  • Chanzo: [HASHTAG]#Mtanzania[/HASHTAG] @mtanzanianews
 
Ndiku naye alikurupuka unaoaje mtu humjui ila karma haiwaachagi watu salama, hatujui naye mama mtoto wake wa kwanza alimwachaje

Kwa kweli..! Inawezekana nae Hamad alimuumiza mzazi mwenzie akaja kumuoa huyu kulubembe wetu huku bongo.
 
Huyo Irene wajiunge na Zari scenario yao (wenzi wao ma X pamoja na ving'ast wao wa sasa) inafanana sana!!... Sijui mioyoni mwao wanajisikiaje..but hii ni laana ambayo inaweza kuathiri hadi vizazi vyao
 
Back
Top Bottom