Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Jamani pole yake
Well hiyo kichwani ni less wigi ama nywele yake org?
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]. Ni nywele yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani pole yake
Well hiyo kichwani ni less wigi ama nywele yake org?
Jamani pole yake
Well hiyo kichwani ni less wigi ama nywele yake org?
Wamegombana watoto,siyo yy na watoto ni mama mwenye busara ndio maana aliendelea kuwasiliana n mkwe wake.Mama analia kwa uchungu na hakuna unafiki wowote
Tema mate chini,oppra ni mtu mzima ana maamuzi yake .Unaoza mtoto huku na huku sijui hata unalia nini
Ndio maana mama Irene hakuhudhuria harusi ya mwanawe na Janjaro.....Hawezi kuwa na unafiki, ila uwoya dunia itamfunza na umalaya wake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hawezi kuwa na unafiki, ila uwoya dunia itamfunza na umalaya wake
Nikajua huyu Irene hana wazazi kabisa...
Mnafki mwenyewUnafiki mtupu
Oooh kumbe familia iko njema?Baba yake ni pilot mama ake yuko wizara ya nishati
Basi kana kichaa..Baba yake ni pilot mama ake yuko wizara ya nishati
Wanawake walikuwa mama zetu kwishaaa...!Hamna unafiki hapo mama ameongea anacho feel,, labda shida ni mtoto wake na hawezi muamulia maisha