Mama J, shabiki wa Yanga

Mkuu, kwa hii life expectancy ya kibongo na namna vijana tunakufa siku hizi, umfatilie mwanamke wako / kumbana si utakufa tu mapema? Aisee kama bible ilivoshauri, tuishi nao kwa akili tu ila mengine ni kujitakia maradhi ya uzeeni ktk umri mdogo ama kufa tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mbona video ya kawida sanaa naona vibe lake kubwa sanaa. mm ninayo kwanza nijue mama J ni nan?
anae taka anitafute lakin haina majaabu
Ya kwako imeishia (au rather imeanzia wapi?). Wengine wanayo ndefu sana na Mama J katisha sana. Tunamtafuta
 
Lazima yule jamaa alimla ndogo tu 😂😂
Ile chura siyo ya kuiacha

Ova
 
Binafsi sijaonana naye na naona aibu hata kumpigia simu, ila mama yake mdogo nimeonana naye na amejisikia vibaya sana maana ile video ameiona na ndiye aliyemtafutia frem ya duka eneo hili
Mbona wanasema anaishi mtwara anafanya kazi Kituo Cha Radio? Tumuamini Nani Sasa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…