Nadhani wanajamii forums wamekuelekeza vizuri sana, nenda ustawi wa jamii, waeleze uliyoyashuhudia, naamini watachukua hatua stahiki juu ya tukio hili kwani wao ni mamlaka iliyopewa na serikali kushughulikia masuala ya kijamii, kama hili. Tafadhali usisite, na uchukuwe hatua hii mapema kabla mambo hayajaharika zaidi ili umnusuru mtoto huyu.Nenda ustawi wamfuate kimyakimya
Hata kuwasilisha hapa umefanya vizuri sana. Usikatishwe tamaa na majibu ya kebehi hapa ndivyo ilivyo. Hata ufanye jambo zuri namna gani siyo wote wataridhika. Ila mimi naona ungeeleza vizuri zaidi. Huyo mama anaishi wapi, mtaa gani, na kufika makazi yake unatumia njia gani. Hili litatoa urahisi kwa mtu, mwandishi wa habari au mamlaka kufuatilia. Jambo jingien unalowezakufanya ni kutafuta social media account ya eg Insta, Facebook nk. y hawa wanaharakati wanaofuatilia mambo ya jamii kama kina Joyce Kiria na kuwaandikia ujumbe huku ukiwaelekeza na sehemu. Kama hutaki kujulikana unaweza kutumia username ambazo siyo halisi kama hapa au uwaambie wahusika wasikutaje. Kujitoa kwako kwa dakika tano kunaweza kuokoa maisha ya kiumbe au kuondoa kiumbe kwenye matatizo makubwa.Siwafahamu sasa nawapataje na je akinijua nmemchomesha?
Sawa mkuu nitafanya ivyo jambo ambalo sio zuri majirani wakimshauri mtoe acheze na wenzake hatakiHata kuwasilisha hapa umefanya vizuri sana. Usikatishwe tamaa na majibu ya kebehi hapa ndivyo ilivyo. Hata ufanye jambo zuri namna gani siyo wote wataridhika. Ila mimi naona ungeeleza vizuri zaidi. Huyo mama anaishi wapi, mtaa gani, na kufika makazi yake unatumia njia gani. Hili litatoa urahisi kwa mtu, mwandishi wa habari au mamlaka kufuatilia. Jambo jingien unalowezakufanya ni kutafuta social media account ya eg Insta, Facebook nk. y hawa wanaharakati wanaofuatilia mambo ya jamii kama kina Joyce Kiria na kuwaandikia ujumbe huku ukiwaelekeza na sehemu. Kama hutaki kujulikana unaweza kutumia username ambazo siyo halisi kama hapa au uwaambie wahusika wasikutaje. Kujitoa kwako kwa dakika tano kunaweza kuokoa maisha ya kiumbe au kuondoa kiumbe kwenye matatizo makubwa.
Umesoma ukaelewa? Amesema hamtoi nje! Kama muda wote yuko ndani na hatoki nje hili ni kosa kubwa.Hakuna kosa hapo anamfungia kwa usalama wake,kosa ni kutompeleka shule kama ana umri wa kwenda shule
Fanya mkuu. Mungu atakulipa kwa njia nyingine. Hakuna binadamu anayepaswa kukaa ndani muda wote. Hata kama ni mlemavu ana haki ya kucheza na watoto wengine. Kuna cases nyingi zimeshatokea na watoto walipokuja kugundulika baadae walikuwa wamegeuka na kuwa kama misukule kwa kukaa ndani. Nakumbuka kuona kisa kama hiki. Mtoto alilkuwa anasikika kulia ndani na siku majirani walipovamia wakakuta mtoto amefungwa mnyororo kama mbwa na huwezi kujua tena kama ni binadamu.Sawa mkuu nitafanya ivyo jambo ambalo sio zuri majirani wakimshauri mtoe acheze na wenzake hataki
Anaweza kutoa taarifa bila kutoa utambulisho halisi.Kweli hii tabia ni mbaya sana, je ni kweli watu wote hawajajua hilo.
Pengine uhame hapo kwanza ndo uongee na watu wa serikali ya mtaa ili wabebe hilo jukumu, huwezi jua ata react vipi atakapojua umemsemea.
Wapo baadhi wanaharibu watoto wao kisa pesa ila pia ulemavu mwingine ni MAPENZI YA MUNGU.
Hana pesa yeyote anaishi nae chumba kimoja na mmewe na mwanae mwingine wa darasa la 4 ila uyo mlemavu huwa amefungiwa ndani tu inafika kipinndi analia kwa nguvu sanaKweli hii tabia ni mbaya sana, je ni kweli watu wote hawajajua hilo.
Pengine uhame hapo kwanza ndo uongee na watu wa serikali ya mtaa ili wabebe hilo jukumu, huwezi jua ata react vipi atakapojua umemsemea.
Wapo baadhi wanaharibu watoto wao kisa pesa ila pia ulemavu mwingine ni MAPENZI YA MUNGU.
Kosa liko wapi kama ana umri chini ya miaka mitano hakuna kosa mkuu.kosa ni kutompeleka shule kama ana unri wa kuanza shuleUmesoma ukaelewa? Amesema hamtoi nje! Kama muda wote yuko ndani na hatoki nje hili ni kosa kubwa.