FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
- Thread starter
- #21
Natamani kufanya je atanichukuliaje anaweza kunirogaFanya mkuu. Mungu atakulipa kwa njia nyingine. Hakuna binadamu anayepaswa kukaa ndani muda wote. Hata kama ni mlemavu ana haki ya kucheza na watoto wengine. Kuna cases nyingi zimeshatokea na watoto walipokuja kugundulika baadae walikuwa wamegeuka na kuwa kama misukule kwa kukaa ndani. Nakumbuka kuona kisa kama hiki. Mtoto alilkuwa anasikika kulia ndani na siku majirani walipovamia wakakuta mtoto amefungwa mnyororo kama mbwa na huwezi kujua tena kama ni binadamu.