Mama jirani yangu anamfungia ndani mwanaye mwenye ulemavu

Wewe jamaa isije ikawa tunakaa mtaa mmoja maana namimi kwangu kuna hiyo shida mzee.hadi naogopa
Weka hapa JF.
Jina la mkoa:
Jina la kata:
Jina la mtaa:
Maelekezo ya jinsi ya kufika kwa urahisi kwa huyo mama kutokea sehemu maarufu mtaani (eg shule/kanisa/hospitali).
Jina (maarufu) la huyo mama. Eg mama Jaki.
Jina na mawasiliano ya balozi wa nyumba kumi au kiongozi yoyote wa mtaa.
Hapo utakua umemaliza kazi yako, wahusika watamfikia kwa uzuri tu.
Kinoamiguu
 
Siyo sahihi,huu ni ukatili na ukiukaji wa haki za mtoto.Kwa kumsaidia nenda ustawi wa jamii utoe taarifa au nenda serikali za mtaa.Msaidie huyo mtoto ndugu yangu.Au nikutafutie namba ya mtu fulani asaidie?
 
Kama utaona itapendeza sawa mkuu
 
Nilishasema hapo juu kuwa kama ana umri wa kwenda shule na haendi hilo ni kosa ila kama yuko chini ya umri huo ni ngumu kumtia mzazi hatiani,nimesoma hapo sijaona sehemu kuwa ni lazima alione jua
Kwa hiyo UBAGUZI wewe huuoni?
 
Kosa liko wapi kama ana umri chini ya miaka mitano hakuna kosa mkuu.kosa ni kutompeleka shule kama ana unri wa kuanza shule
Mjinga wewe hujui hata faida za kiafya za kumruhusu mtoto atoke nje achangamane na wenzake.Huoni kama kumfungia tu ndani kuna muathiri kimwili na kiakili?.You are pathetic fool,
 
Mjinga wewe hujui hata faida za kiafya za kumruhusu mtoto atoke nje achangamane na wenzake.Huoni kama kumfungia tu ndani kuna muathiri kimwili na kiakili?.You are pathetic fool,
Taratibu dada rose acha kupanic ,haya tuendelee unasemaje
 
Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…