Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Ni sawa na mtu kakupiga unaenda kumshtakia,je akipigwa na yeye itakuongezea nn.

Kufiwa kusikie kwa jiran tu.tena ukute walijibishana na mama kanumba akakashfiwa mwanae lazima apate faraja hata kama wengine wameumizwa na hukumu
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
 
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
MBITIYAZA mbona kama sio wewe uliyekoment hapo.

Hiyo ni sheria tu lazima ifuatwe mkuu hata kama hakuna alichofaidika mama yake Kanumba ila mwisho wa siku wote tupo chini ya sheria.
 
Uzuri wa bongo huchelewi kusikia katolewa kwa msamaha wa bashite kabla ya miaka 2 kufika, just wait and see
 
December kuna msamaha wa rais magu anavyo penda kiki ata mwacha kweliii
 
Kwani gerezani kunalingana na makaburini!?

Toto lake jinga linauwawa na kijitu kukojoa kwenyewe mpaka kichuchumae!

Ngoja nijiaminishe kuwa kuna hukuwa umedhamiria kuandika ulichokiandika katika muktadha wa ubinaadamu......
 
Watu wengine wapumbavu sana. Mtu anauliza kufungwa Lulu itamsaidia nini mama Kanumba.

Kwa hiyo watu waendelee kuua wakijua hakuna litalowatokea maana wakifungwa marehemu hafufuki?

Kwa maana hiyo kesho akaue mwingine bila kukusudia maana hamna adhabu. Hakuna umaskini mbaya kama wa mawazo!
 
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !

Ni rahisi sana kulielezea jambo ukiwa nje ya maudhui yake.....

Mimi kwa uelewa wangu na kwa ufahamu wangu.....nakuombea kwa Mungu usipitie kipindi kama anachopitia Mama Kanumba wakati huu

Au kama anavyojihisi Mzazi wa Lulu....

Ni mambo ambayo ni mepesi kuyaongea lakini si kwenye kuyatenda......
 

Hisia zinaposhika hatamu....hupunguza uwezo wa ubongo kufanya kazi.....na ndio sio salama kufanya maamuzi kipindi ukiwa na hisia kali juu ya jambo hilo.......

Hakuna anayejua uchungu wa mama aliyempoteza mwanawe ambaye alikuwa anamtegemea.....!!! Sidhani kama miongoni mwao kuna aliyewahi kupitia jambo hilo katika mazingira yale

Wakitoka nje ya joho la HISIA watajiona jinsi gani walivyo wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…