Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Inahusiana Nini na kamgogoro ka wiki hii!! Hilo ndo swali la msingi,Lulu kasema nyumba ni yake kajenga kutokana na kazi zake [emoji3]
Tabia za kupenda kujionesha tu yani ni usanii tu muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahusiana Nini na kamgogoro ka wiki hii!! Hilo ndo swali la msingi,Lulu kasema nyumba ni yake kajenga kutokana na kazi zake [emoji3]
Ha haaa ni kama anamringishia Wema, nahisi wema hana kakibandaInahusiana Nini na kamgogoro ka wiki hii!! Hilo ndo swali la msingi,
Tabia za kupenda kujionesha tu yani ni usanii tu muda wote
Wema ni bureMwanamke mzima kujitamba unapendwa na mama wakwe! Hivi haoni aibu? Ina maana anaona sifa kuwa na wanaume wengi, kutoa mimba nako anaona ni kitu cha kawaida sana kukisema hadharani.
Akili zake anazijua yeye.
.
.
Angetumia umaarufu na uzuri wake vizuri angekuwa ana heshimika sana. Anatia hasira angekuwa mwanangu angekula vibao kila siku bila kujali umri wake.
Macelebrity manamake ya bongo akili zimejaa funza tupu. Mi kuzungumzia tu kutiwa na ex naoanaga kinyaa ije kuwa kutoa mimba na kuringishia eti nilipendwa na mama mkwe,,,pyeeeee mama mkwe kwa ndoa ipi labda😂😂😂😂Mwanamke mzima kujitamba unapendwa na mama wakwe! Hivi haoni aibu? Ina maana anaona sifa kuwa na wanaume wengi, kutoa mimba nako anaona ni kitu cha kawaida sana kukisema hadharani.
Akili zake anazijua yeye.
.
.
Angetumia umaarufu na uzuri wake vizuri angekuwa ana heshimika sana. Anatia hasira angekuwa mwanangu angekula vibao kila siku bila kujali umri wake.
Wapuuzi tu woteHa haaa ni kama anamringishia Wema, nahisi wema hana kakibanda
Anampiga dongo wemaaInahusiana Nini na kamgogoro ka wiki hii!! Hilo ndo swali la msingi,
Tabia za kupenda kujionesha tu yani ni usanii tu muda wote
[emoji3][emoji3]Macelebrity manamake ya bongo akili zimejaa funza tupu. Mi kuzungumzia tu kutiwa na ex naoanaga kinyaa ije kuwa kutoa mimba na kuringishia eti nilipendwa na mama mkwe,,,pyeeeee mama mkwe kwa ndoa ipi labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakin lulu hiyi nyumba aloonesha sio ya kwanza piaLulu kasema nyumba ni yake kajenga kutokana na kazi zake [emoji3]
Angemringishia yeye kupendwa na majizo maana nyumba haihusiani, by the way wote wajinga na washamba tuAnampiga dongo wemaa
Angemrungishia yeye kupendwa na majizo maana nyumba haihusiani, by the way wote wajinga na washamba tu
Basi yupo vizuri. Kumbe bongo movie inalipa, wema anakwama wapi hataki katuonyesha nyumba yake au hapendi show offLakin lulu hiyi nyumba aloonesha sio ya kwanza pia
Itakuwa ya pili au ya tatu
Lulu ni wema aliyechangamka na majizo asipomuoa ndani miaka 3 ijayo atadata kumzidi na wemaYes lakin mi naonaga bora lulu wema debe tupu
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
Ila papuchi inabaki kuwa Pana vile vile!?Watu wana roho mbaya sana!
Yule kuna mtu alikuwa anashindana nae ( hamisa) ndo maana kaendaga kujipunguza vile... kingine kupenda utoto kumemcost, akijua eti akipungua atarudi utotoni
Huwezi kumpoteza mwanao kama Kanumba tena katika MAZINGIRA yale halafu ujifanye kama hakijatokea kitu.Pale wote hamnazo si huyo Wema wala mama Kanumba, huyu wema kabla hajaanza kurusha hicho kipindi angalau angejifunza kitu kuhusu kuhoji sio anakurupuka kuuliza maswali ya kijinga halafu na huyo mama Kanumba mkubwa hovyo kamganda mtoto wa ke mwenzie utadhani Luba, huyu mama kama sio mchawi uzeeni ataroga mtu. Hebu wamuache mtoto wa watu atulie kapitia magumu mengi sana sasa ni muda wa kupimzika.
Unawezaje kuacha kazi inayolipa ???Basi yupo vizuri. Kumbe bongo movie inalipa, wema anakwama wapi hataki katuonyesha nyumba yake au hapendi show off
Hata sielewiUnawezaje kuacha kazi inayolipa ???
Kama bongo movie inalipa why hatoi movie tena ???
Duuu! Dini inakataza kuita wenzio wanafikiWema mnafiki sanaa
Nani alikwambia hana?yan kama ana ngoma vile.