Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Wema yeye kama mtangazaji wa kipindi alikuwa sahihi kuuliza vile vile sababu alikuwa anauliza kwa niaba ya watazamaji na wasikilizaji ambao hawajawahi kujua historia ya jambo hilo jinsi lilivyotokea!

Actually kanuni ndivyo inavyotaka kwa mtangazaji hata kama yeye binafsi anajua juu ya jambo fulani lakini anapaswa kuuliza kwa niaba ya msikilizaji na mtazamaji wa kipindi husika.

Kwa Wema hakufanya kosa lolote!

Kwa kuzingatia kwamba muvi za Kanumba bado zinatazamwa na watu mbali mbali ambao wengine hawajawahi kujua kifo chake kilivyokuwa, hivyo ikitokea fursa kama ile wanapata kujua!

Kwa hiyo Lulu ajikaze tu huenda kwa wakati mwingine hilo jambo likaibuliwa tena asishangae maana Kanumba alikuwa Mfalme wa Bongo Muvi hata sasa hajaibuka wa kumzidi. Labda mzee Majuto !
 
Mkuu hiyo Kesi ilikuwa na mambo mengi, mara mtuhumiwa kashusha umri mara siasa zimeingilia.

Ina maana huyo Lulu enzi hizo ana ruka na kina Mr Blue, Alikiba alikuwa na miaka mingapi ??

Enzi hizo ana ndoto za kuolewa na kina Justin Bieber [emoji15][emoji15]

So, probably mama Kanumba anaona adhabu inayofaa ni kuliongelea hilo suala mara nyingi.

Na inaonekana akiliongelea linampa Lulu psychological torture.
Na kweli asee yule mama akianza kuropoka mambo ya kanumba, huwa kanapagawaga kweli, like his blood haunts her[emoji848][emoji848]
 
Wote wajinga

Wema anapenda kuonesha watu kila alipokua na mahusiano alipendwa sana kuliko wengine na hapo hapo anawaganda kanumba na domo tu hatazi chaz baba wala jumbe

Lulu anapenda sympathy wakati anajua jeuri na dharau alizokua nazo alionywa sana akawa anajibu mbovu na kudondosha birthday ya nguvu kuwa kafikisha miaka 18 so waja waache kumpangia maisha amekua. Likamtokea la kumtokea akashusha umri fasta. Halafu kanumba hakua wa kwanza kwake,jamaa anadondoshewa dhambi zoooteee wakati alikuta katoto kameshakuzwa tayari

Sijaona umuhimu wa wema kuendeleza kuhusu kanumba na sijaona umuhimu wa lulu kuringishia nyumba ya majizo
Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!

Ngoja nikupe mfano hai

Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..

So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]
 
Kakubwa sema mwili na kesi inakarudisha nyuma kuitwa kadogo.

Lulu alichomzidi wema kwa sasa ni kusitiriwa na majay tu baada ya hapo hana anachomzidi wema

Kawa mpole akisubiria mdogo wake amalize shule apate kuonyesha makeke yake chezea kulipiwa ada
Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!

Ngoja nikupe mfano hai

Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..

So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]
 
😂😂😂😂😂wema ni empty set ndo maana akajikondesha ili arudishe jina la onyinye akidhan atarudisha na ile nyota aliyoichezea

Lulu bana akiwa na yake anapendeza ila akianza nyodo ni shida alishawafananisha watanzania na ndugu wa mume kule Twitter watu wakamjibu asiwafananishe na gubu la ndugu wa majizo daah sijui walijisikiajehao ndugu
Hahaha Ni Kama wote wamechanganyikiwa kwamba wema anatudolishia mahusiano yake ya nyuma, (angekuwa bora wangemuoa Sasa), lulu nae anadolishia nyumba ya boyfriend wake😂😂😂yani hajaolewa ila anavyovimba Sasa, tumtu tufupi tuko na shida mingi sana
 
Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!

Ngoja nikupe mfano hai

Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..

So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]
Hawezi kua na miaka 29 nakataa
 
Back
Top Bottom