Mama Kanumba Atoa siri za mwanae

Mama Kanumba Atoa siri za mwanae

kwahiyo mpaka sasa bongo movie hakuna aliyefikia level za kanumba?

Hakuna, achilia mbali kukaribia, bado tunasubir labda vipaji vipya vinavyokuja wataweza fanya kama marehemu
 
Ahahahahahahahahaahahhhahajajaaajjahahahaaahahahahah

Binamu leo umeniweza, watasema warumi hakuwa mbea alikuwa anasema kweli kabisa, hahahaaha hahaah chezeya

Halafu binamu najiulizaga kweli, ivi mimi nikifa jamii forum itajua? Itajuaje? Naumizaga kichwa kweli, naona wengine member wakifa watu wanajua

Ndio hivyo binam, we ukifa unataka uwajulishe member wenzio watakusaidia niniiii,utafufuka????
 
Last edited by a moderator:
Si alikuwa mwimba kwaya marehemu, jamaa alitoka kwenye familia ya kidini, na kweli kanumba alikuwa yupo tofauti sana na vijana wengine, alikuwa na HEKIMA sana na heshima kwa kila mtu, na ndio maana alifika mbali, hayo mambo mengine ni ya kibinadamu, ila kanumba alikuwa anamjua sana Mungu

Nyinyi hamna tofauti na kiongozi mkubwa kwenye siku ya mazishi ya Kanumba aliyesema kua ni mfano wa kuigwa. Hivi mtu kama huyu aliyefia katika mazingira ya uzinzi unaweza kuniambia kua anamjua mungu lakini hajui hata amri ya sita inasemaje.
 
Mimi pia nimewahi kuwaza hili jambo lakini nikawaza hivi....nitamtafuta ndugu yangu muaminifu nitamuambia user name yangu ya huku kwani hakuna ajuae kesho yake hata siku nikifa awaambie member wenzangu...unaonaje wewe?

Mimi nikifa yupo mme wangu lakini sitahitaj aseme haisaidii kitu
 
Na pia alikua anajua kuwaelekeza jinsi ya kuchezaa movie

Kanumba alikuwa anaweza kumbadilisha muigizaji yeyote kuwa anavyotaka yeye, mfano mzuri ukimuangalia WEMA kwenye movie aliyoigiza na kanumba alikuwa anafanya vizur kuliko akitumiwa na wasanii wengine, mfano mzuri ni ile movie ya POINT OF NO RETURN wema alifanya poa sana ila kwenye movie nyingine huwez hata kumtaman kumuona wema anavyoigiza vbaya, hata wasanii kama BATULI,AUNTY,WOLPER,SHAMSA,AISHA BUI, IRENE PAUL,ZAMDA, ASHA JUMBE,NORA na wasanii wengine walikuwa wakiigiza na kanumba kupitia kampuni ya GAME FIRST QUALITY walikuwa wanafanya poa sana, uwa namis sana VIPAJI vipya alivyokuwa akiviinua kanumba, yani mademu walikuwa wanaigiza vizur hata kama ni ma under ground, we will always honor him for that
 
Unaniandikia gazetii
 
Mimi pia nimewahi kuwaza hili jambo lakini nikawaza hivi....nitamtafuta ndugu yangu muaminifu nitamuambia user name yangu ya huku kwani hakuna ajuae kesho yake hata siku nikifa awaambie member wenzangu...unaonaje wewe?

Ni kweli kabisa, especially mtu kama mimi ambaye ID yangu ina umaarufu wa aina yake, siku nikikaa kimya pengine ndo nishaiaga dunia, hakuna atakayejua, wengine watajua warumi kapewa life BAN au kafungiwa, kumbe mwenzao nipo mbele ya haki nikijibu kazi ya umbea niliyokuwa nikifanya duniani

I think wengine ambao hawana undugu au marafiki wowote humu achilia mbali ule undugu wa kupeana maumbea na kuchambana, inabid wa find a way ili kujiwekea walau mazingira ya unifahamu ili chochote kitakachotokea wanajamii wenzio tujue

Kuna wengine wanakufa humu kila siku sema hawajulikani sana so inakuwa kawaida tu
 
Sio lazima ukipotea atakuja mbea aliekubuhu mwingineee,mimi sion hajaa ,basi siku ukifa niage nitakufyngulia thread
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo binam, we ukifa unataka uwajulishe member wenzio watakusaidia niniiii,utafufuka????

Labda tu ujanijua binamu, mimi nimezaliwa ivi, uwa napenda sana UMAARUFU, napenda sana ATTENTION, napenda nikifanya kitu basi wajue au hivyo napenda sana publicity, japokuwa sio kama ya humu jamii forum, maana hakuna anayenijua wala kunifahamu hata kwa picha, so sipati raha ya kihivyo, japokuwa uwa nafarijika sana umbea wangu umenipa umaarufu humu na kunifanya niwe mtu wa aina yake kati ya watu wengi, napenda sana yani. umaarufu ni raha sana, japokuwa mimi maisha yangu binafsi sio mtu maarufu, ila umaarufu wa ID yangu unanifariji sana na kunifanya nijione mtu wa pekee na wa aina yake humu, yani hivyo
 
Ni kweli kabisa, especially mtu kama mimi ambaye ID yangu ina umaarufu wa aina yake, siku nikikaa kimya pengine ndo nishaiaga dunia, hakuna atakayejua, wengine watajua warumi kapewa life BAN au kafungiwa, kumbe mwenzao nipo mbele ya haki nikijibu kazi ya umbea niliyokuwa nikifanya duniani

I think wengine ambao hawana undugu au marafiki wowote humu achilia mbali ule undugu wa kupeana maumbea na kuchambana, inabid wa find a way ili kujiwekea walau mazingira ya unifahamu ili chochote kitakachotokea wanajamii wenzio tujue

Kuna wengine wanakufa humu kila siku sema hawajulikani sana so inakuwa kawaida tu

Hivi wewe Warumi unajijua kama wewe mmbea uliyeshindikanika.
 
Last edited by a moderator:
Nyinyi hamna tofauti na kiongozi mkubwa kwenye siku ya mazishi ya Kanumba aliyesema kua ni mfano wa kuigwa. Hivi mtu kama huyu aliyefia katika mazingira ya uzinzi unaweza kuniambia kua anamjua mungu lakini hajui hata amri ya sita inasemaje.

Morinyo please, usisahau kuwa kanumba alikuwa ni binadamu kama walivyo wengine, na hakukamilika, mbona kuna ma padre wanazini, wachungaji mashoga na wauaji, ninachozungumzia ni ile HAIBA yake aliyokuwa akiiinyesha kwa UMMA, alikuwa mtu safi sana, hata kama alikuwa na maujinga yake ila alikuwa anajiheshimu sana na kujisitir na maovu yake
 
Last edited by a moderator:
Labda tu ujanijua binamu, mimi nimezaliwa ivi, uwa napenda sana UMAARUFU, napenda sana ATTENTION, napenda nikifanya kitu basi wajue au hivyo napenda sana publicity, japokuwa sio kama ya humu jamii forum, maana hakuna anayenijua wala kunifahamu hata kwa picha, so sipati raha ya kihivyo, japokuwa uwa nafarijika sana umbea wangu umenipa umaarufu humu na kunifanya niwe mtu wa aina yake kati ya watu wengi, napenda sana yani. umaarufu ni raha sana, japokuwa mimi maisha yangu binafsi sio mtu maarufu, ila umaarufu wa ID yangu unanifariji sana na kunifanya nijione mtu wa pekee na wa aina yake humu, yani hivyo

Mi nilikuambia rusha picha yako humu uwe maarufuu lazima kuna member wanakufahamu tu,bina au uigizee basii au fungua blog mi ntakua wa kwanza kuingia kwa blog yako naamini wambea wote tutahamia kwa blog yako,
Lakin bina we nj handsome kama Money stunna kwiiiii kwiiiiiii au kama Galisah au una sura ngumu kama HOD fungukaaa
 
Sio lazima ukipotea atakuja mbea aliekubuhu mwingineee,mimi sion hajaa ,basi siku ukifa niage nitakufyngulia thread

Sio lazima ndio , ila sisi ni kama jamii MOJA humu, ni kama walivyo wasanii apa bongo, mwenzao akifa lazima wenzao watoe ushirikiano, haibadilishi chochote, ila inafariji tu kibinadamu, ni hivyo yani
 
Morinyo please, usisahau kuwa kanumba alikuwa ni binadamu kama walivyo wengine, na hakukamilika, mbona kuna ma padre wanazini, wachungaji mashoga na wauaji, ninachozungumzia ni ile HAIBA yake aliyokuwa akiiinyesha kwa UMMA, alikuwa mtu safi sana, hata kama alikuwa na maujinga yake ila alikuwa anajiheshimu sana na kujisitir na maovu yake

Kweli kabisaaa Kanumba hakunaga alijitahidii skendo hazikua mbaya kivile
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima ukipotea atakuja mbea aliekubuhu mwingineee,mimi sion hajaa ,basi siku ukifa niage nitakufyngulia thread

Atakuja MMBEA mwingine ila sio kama warumi, mie ni namba nyingine binamu, NO copy apa miaka miaaa
 
Last edited by a moderator:
Atakuja MMBEA mwingine ila sio kama warumi, mie ni namba nyingine binamu, NO copy apa miaka miaaa

Hayaaa bana,na demu wako mbea kama wewe au,,bina sasa hivi umehamia wapi sasa ulisema umepewa notice
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe Warumi unajijua kama wewe mmbea uliyeshindikanika.

Binamu kuna watu wambea humu, warumi anasubir, sema mimi tu nimeamua kusimama na kujitetea mwenyew na kufanya kile ninachojisikia, japokuwa nimetukanwa sana, so labda wengine wakiona ninavyopewa majina mabaya, mara MMBEA, sijui shoga wengine wanajisikia vibaya sana na kujiona watajidharirisha, hata mimi mwanzo mtu akiniita MMBEA, nilikuwa naumia sana yani, najisikia vibaya najiona kama nipo tofauti na wengine, ila nowa nimeshazoea , its a part of the game, life goes on
 
Kuna wale wambea husomaga kimya kimyaa yaan wao hawapendi kuonekana wambea ila wanapenda kusoma umbea hhhhhhhhaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa bana,na demu wako mbea kama wewe au,,bina sasa hivi umehamia wapi sasa ulisema umepewa notice

Karibu tumsikilize awilo longomba zile nyimbo zake za speed za kawaida,una enjoy fleva kwa kutingisha bega tu
 
Hayaaa bana,na demu wako mbea kama wewe au,,bina sasa hivi umehamia wapi sasa ulisema umepewa notice

Mbona mnanichanganya hivi???Binamu ni mwanaume?mbona kuna siku alishushiwa mtongozo?
 
Back
Top Bottom