Mama Kanumba Atoa siri za mwanae

Mama Kanumba Atoa siri za mwanae

Mi nilikuambia rusha picha yako humu uwe maarufuu lazima kuna member wanakufahamu tu,bina au uigizee basii au fungua blog mi ntakua wa kwanza kuingia kwa blog yako naamini wambea wote tutahamia kwa blog yako,
Lakin bina we nj handsome kama Money stunna kwiiiii kwiiiiiii au kama Galisah au una sura ngumu kama HOD fungukaaa

Binamu, mimi lazima nije kuwa maarufu mimi mwenyew binafsi, tena nitatumia jina hili hili la warumi, maana ID yangu sasa ivi ni dili so lazima nifanyie kitu, kuna baadhi ya vitu najaribu kufanya, nahitaji pia msaada wa watu wengine ili tufanye kitu kizuri zaidi, maana sasa ivi najiamini, ninaweza kufanya vitu vikubwa sana kupitia jina langu la warumi. So subrini tu binamu, mambo mazuri yanakuja

Kuhusu muonekano wangu, hahahaha aaha mimi nipo kawaida tu, ila huwezi kuniweka kwenye kundi la watu wabaya au wazuri sana, nina sura ambayo hata ukiweka kwenye front page ya gazeti lolote basi mtu huwezi kutamani upite ivi ivi bila kuniangalia mara mbili, hahahaha ahaha, nina sura ya mwanaume ambaye wanawake wengi hutaman kuwa na mwanaume wa aina hiyo, im kind of a gentleman, uwa naonekana vizur zaidi kwenye picha
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisaaa Kanumba hakunaga alijitahidii skendo hazikua mbaya kivile

Hicho ndo nilikuwa na maanisha na sio kwamba nilisema alikuwa sio muovu, ila alijitahidi sana kujiheshimu na kulinda hadhi yake
 
Kuna wale wambea husomaga kimya kimyaa yaan wao hawapendi kuonekana wambea ila wanapenda kusoma umbea hhhhhhhhaaaaa

WAtu wengi sana wanapenda umbea na ndio maana warumi amefahamika sana kwa kuwa anatoa vitu ambavyo wengi wanapenda kuvisikia, mimi ni kama BALOZI tu, haimaniishi bozi anajua kila kitu ila kile ni cheo tu
 
Last edited by a moderator:
Binamu, mimi lazima nije kuwa maarufu mimi mwenyew binafsi, tena nitatumia jina hili hili la warumi, maana ID yangu sasa ivi ni dili so lazima nifanyie kitu, kuna baadhi ya vitu najaribu kufanya, nahitaji pia msaada wa watu wengine ili tufanye kitu kizuri zaidi, maana sasa ivi najiamini, ninaweza kufanya vitu vikubwa sana kupitia jina langu la warumi. So subrini tu binamu, mambo mazuri yanakuja

Kuhusu muonekano wangu, hahahaha aaha mimi nipo kawaida tu, ila huwezi kuniweka kwenye kundi la watu wabaya au wazuri sana, nina sura ambayo hata ukiweka kwenye front page ya gazeti lolote basi mtu huwezi kutamani upite ivi ivi bila kuniangalia mara mbili, hahahaha ahaha, nina sura ya mwanaume ambaye wanawake wengi hutaman kuwa na mwanaume wa aina hiyo, im kind of a gentleman, uwa naonekana vizur zaidi kwenye picha

Heheeeeeeiyaaaaaaaaaaaaaaa et kwenye picha ndio mzurii
Bina fanya mambo tukuoneee banaa aibu muonee Mungu mwanadamu atakupiga majungu
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa bana,na demu wako mbea kama wewe au,,bina sasa hivi umehamia wapi sasa ulisema umepewa notice

No, kwenye maisha yangu binafsi sipendi sana hayo mambo, nitafanya umbea wangu peke yangu kwenye mitandao tu na sio physically ivi NO siwezi kabisa , mimi ni kijana mwenye heshima zangu, hii ni kama burudani tu.

Mimi ni mpole sana na sio muongeaji, labda nikuzoee, kama sikujui unaweza kuboreka kukaa na mimi, ila i do gossip na watu wachache sana ambao nimewazoea sana ndo naweza piga nao umbea ila sio kwa kiwango cha humu JF, humu warumi, kazidi sana tofauti na maisha yangu halisi, mimi ni kama MSANII tu binamu
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnanichanganya hivi???Binamu ni mwanaume?mbona kuna siku alishushiwa mtongozo?

Eeeh, ndio nakumbuka, yule alijua kabisa mimi ni mwanaume, so alifanya vile KUNIFEDHEHESHA, ndio changamoto ninazokutana nazo, ukiwa maarufu , kila mtu akikujua, basi ndo matunda haya, kila mtu anakuongelea anavyojisikia, vingine vya kwel, vingine sio kweli, mimi ni kijana wa kiume, watu wenye akili na utashi wanajua mimi ni jinsi gan, ndo maana wengin wananiita shg* ni kwa kuwa wanajua mimi sio demu
 
No, kwenye maisha yangu binafsi sipendi sana hayo mambo, nitafanya umbea wangu peke yangu kwenye mitandao tu na sio physically ivi NO siwezi kabisa , mimi ni kijana mwenye heshima zangu, hii ni kama burudani tu.

Mimi ni mpole sana na sio muongeaji, labda nikuzoee, kama sikujui unaweza kuboreka kukaa na mimi, ila i do gossip na watu wachache sana ambao nimewazoea sana ndo naweza piga nao umbea ila sio kwa kiwango cha humu JF, humu warumi, kazidi sana tofauti na maisha yangu halisi, mimi ni kama MSANII tu binamu

Binam unajua mimi nawe tunaishi jirani na hua unanipitilizaga tu kwenye kale ka njia unakokapendaaa
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnanichanganya hivi???Binamu ni mwanaume?mbona kuna siku alishushiwa mtongozo?

Ila ninachoshukuru, ni vile watu wanavyoniheshimu na kuelewa ninachokifanya humu, maana PM yangu haina msg za aina yeyote ile za ajabu ajabu ambazo watu wananitumia ambazo najua zingeniumiza so apo tu ndo naelewa kuwa , watu wengi ni waelewa.
 
Binam unajua mimi nawe tunaishi jirani na hua unanipitilizaga tu kwenye kale ka njia unakokapendaaa

Ahahaha, eheeh nitakufa kwa presha wewe mutoto, usije ukawa mama mkwe wangu , ahaahahah
 
Umbea unipite Leo sina mkuki mie. Alafu hivi 40 ya kanumba haijafika tu manake sioni dalili za bi mtegoa kurudi bukoba alikuja msibani kumbuka?

Nakupenda mie, mwenzangu au anataka tumuanzishie campaign ya GO BACK TO BUKOBA, maana hatumuelewi, halafu alikuwa anajifanya ana uchungu na mwanae,mmh kwa kwel arudi tu kigoma akalime, maana apa mjini kutwa kuomba pesa kwa LULU na mastaa wengine kisa tu mwanae alikuwa staa, mfyuuu
 
Back
Top Bottom