Yani Warumi usijali,wewe tayari ni maarufu na una followers wengi nyuma yakoo!Mie mwenyewe mmojawapo japo sitaki kukupa fagi usijepata bichwa ukaacha umbeya ukaanza kujisifia!Kwa kifupi ukiupata huo usupastar kwenye public naomba niwe kati ya wabeba pochi wako!Nataka kuwa kama msukule wako yani...
Yani kiukweli wengi tunapenda umbeya ila jinsi ya kuupata kwa gharama nafuu na kwa haraka zaidi ndio shida!!Y nisimbebee pochi mtu mwenye tija katika jamii kama wewe!lol,magazeti tupa kulee,viblog vyenyewe kazi kucopy kutoka jf,ntakua nipo nyuma nyuma kama mkia wa Wema(petit)...Ahahahaa, ahaha safi sana, naipenda hii kutoka moyoni, Dinazarde utajibeba, mwenzio nshapata mbeba mapochi, ila hayo mabegi nadhan yatakuwa yamejaa UMBEA kwenda mbele.
Yani kiukweli wengi tunapenda umbeya ila jinsi ya kuupata kwa gharama nafuu na kwa haraka zaidi ndio shida!!Y nisimbebee pochi mtu mwenye tija katika jamii kama wewe!lol,magazeti tupa kulee,viblog vyenyewe kazi kucopy kutoka jf,ntakua nipo nyuma nyuma kama mkia wa Wema(petit)...
Yani kiukweli wengi tunapenda umbeya ila jinsi ya kuupata kwa gharama nafuu na kwa haraka zaidi ndio shida!!Y nisimbebee pochi mtu mwenye tija katika jamii kama wewe!lol,magazeti tupa kulee,viblog vyenyewe kazi kucopy kutoka jf,ntakua nipo nyuma nyuma kama mkia wa Wema(petit)...
Umesikia umbea, jokate na lulu nusu wazichape... sitak mie umbea napita tuu
Mazeri amekuwa star by association hahaha kutwa kupigana vikumbo kwenye shuhuli za mastaa na watoto wa mjini naona anautamani Sana utoto nae apige bling bling km akina wolper na luliNakupenda mie, mwenzangu au anataka tumuanzishie campaign ya GO BACK TO BUKOBA, maana hatumuelewi, halafu alikuwa anajifanya ana uchungu na mwanae,mmh kwa kwel arudi tu kigoma akalime, maana apa mjini kutwa kuomba pesa kwa LULU na mastaa wengine kisa tu mwanae alikuwa staa, mfyuuu
Hhhhhhhaaaaaa mjini kuzuriiii kahamia jumla hhhhaaaaaaa
Heeee basi naahirisha palizi naishia hapa hebu nitonye mine kisa na mkasa?
Halooo ya mmeba pochi hahah utakuwa unafaidi chenchiYani kiukweli wengi tunapenda umbeya ila jinsi ya kuupata kwa gharama nafuu na kwa haraka zaidi ndio shida!!Y nisimbebee pochi mtu mwenye tija katika jamii kama wewe!lol,magazeti tupa kulee,viblog vyenyewe kazi kucopy kutoka jf,ntakua nipo nyuma nyuma kama mkia wa Wema(petit)...
Mhh makubwa naomba unipatie kazi ya umoderator huko bloguni kwakoSi nasikia yule bilionea wa lulu aliyempangishia nyumba mbez sijui anaitwa seki, sasa iv anatoka na jokate, mapenz moto moto, sasa juzi kat bi shost wale walikutana viwanja, jokate akawa anadai lulu anamvunjia heshima, anamtangazia maneno machafu kwa watu. LULU nae akaja juu kama moto wa kifuu.. itaendelea... Under Constructions
Alikua ana sali sana, kwenye dini ipi?
Hahaha umbea wa mjini sunna na unaburudisha haswaaa lazima nikatafute matangazoWambea wote lazima mpate vyeo, chezeyaaaa, blog under construction, soon mambo yatakuwa "LIVE" bila chenga