Mama Kanumba: Lulu ameenda miaka 2 jela na atatoka, Kanumba hatarudi tena

Hilo halifuti utoto, ukianza fuatilia ni watoto wangapi wanaendesha magari na kwenda club mbona wengi tu...

Maneno hamwelewi hata pichaa
 
Exactly Mkuu.. Huyu mama hata kama angefungwa 10yrs bado machungu ya mwanae angeelezea tu.
Kama ni serial kila haitomuathiri,kama ni kweli alimsukuma lulu hana amani though anapretend kua na amani maisha yake yote!
 
Huyu mama itafika mahali atalaaniwa sasa
 
Hivi we ni kee dia ee
Ok tuje kwenye mada huyu binti hakuanza naye pale walituhadaa tangu akiwa na miaka 15 hao

Sasa dia ukisema embe bado changa wenzio wanalila na chumvi
Huyu lazima angeenda jela
Hahahaaa sawa bana, mm ni kee
 
Hahahaaa sawa bana, mm ni kee
Mi siyo mfuatiliaji sana ila kwa kumbu kumbu zangu alienda moshi kuleta vyeti vya kuzaliwa wakati ule kuhakikishia mahakama kwamba alikuwa mtoto
 
Hilo halifuti utoto, ukianza fuatilia ni watoto wangapi wanaendesha magari na kwenda club mbona wengi tu...
Alipataje leseni ya udereva ilhali ni mtoto? Au magumashi

Na kama mazazi aliwezaje kumuruhusu kwenda Club usiku? Si kuonyesha tayari amepevuka.
 
Kama anauchungu sana basi aende Leba kwa Mara nyingine na yeye sio wa kwanza kufiwa.
 
Bwihi bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Eti mtoto anaendesha gari anaenda klabu za usiku.. Ok tuache kama ilivyo
Tena afu hawakutaka kabisa kushikilia bango la leseni aliitoa wap kama alikua below 18
 
Chini ya miaka 18 lakini akili na mambo yake ni kama ana zaidi ya miaka 25 hapo inakuwaje?
Jana nimewakuta watoto wawili wa kiume wana kama miaka minne hivi wanamwambia mwenzao wa kike kuwa "usiende huko utatongozwa", kwakweli nimeshangaa sana.
 
Jana nimewakuta watoto wawili wa kiume wana kama miaka minne hivi wanamwambia mwenzao wa kike kuwa "usiende huko utatongozwa", kwakweli nimeshangaa sana.
Bwihi [emoji16] [emoji16]
 
Mama kanumba anaumia Sana Mtoto kumpoteza Mtoto wake pole Sana lakni mama kanumba aliona sawa tu Mtoto wake kanumba Kumbaka binti mdogo Lulu kumtumia Kama alivyotaka. Hakika kanumba amekula adhabu aliyostahili japo wote tutakufa lkn adabu zitatofautiana. Mama kanumba unafurahi Mtoto WA mwenzio kubakwa na toto lake bakaji Mahili bila kujari Mtoto WA mwanamke mwinzio kweli dunia watu wanajijali wenyewe zaidi. Watanzania ni wakati WA kusimama kutetea uovu km huu. Inaumiza kuona wakt wa msiba wa kanumba alililiwa kanumba lkn Lulu hakuonewa huruma kwa kubakwa na mbakaji yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…