Mama Kanumba: Lulu ameenda miaka 2 jela na atatoka, Kanumba hatarudi tena

Alipataje leseni ya udereva ilhali ni mtoto? Au magumashi

Na kama mazazi aliwezaje kumuruhusu kwenda Club usiku? Si kuonyesha tayari amepevuka.

Unashangaa leseni ????? [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kashangae twiga akiingia kwenye ndege bila kuoneka
Haha haaa
Mkuu
just haaahaaaa
Hukai Tanzania eeee
 
Alipataje leseni ya udereva ilhali ni mtoto? Au magumashi

Na kama mazazi aliwezaje kumuruhusu kwenda Club usiku? Si kuonyesha tayari amepevuka.
Nenda pale tra kuchukua leseni kama utaulizwa hata umri wala cheti chako.
Kwenda club watoto wanaenda lulu siyo wa kwanza wala wa mwisho.
Giggy mwenyewe kafikisha miaka 18 juzi tu.
 
Mi siyo mfuatiliaji sana ila kwa kumbu kumbu zangu alienda moshi kuleta vyeti vya kuzaliwa wakati ule kuhakikishia mahakama kwamba alikuwa mtoto
Vyeti cku hizi mbona vinatengenezwa tu mkuu
 
Kama kanumba asingekufa angefungwa jela miaka 30 au zaidi kwa kutembea na binti wa Chini ya miaka 18

Kwani alivokua anatembea na lulu jamii ilikua hailioni hilo!?
Alichoongea huyu mama n sahihi

Lulu atatoka baada ya miaka miwili na kanumba hatarudi kamwe
“Inauma sana hasa unapoona tegemez wako amekufa na aliesababisha anabak akila raha mtaan bila hata kukumbuka kua yy ndo chanzo cha dhahama yote”

Angalau lulu angebak tu kumheshim huyu mama mtegoa sidhan kama yangekuepo haya tunayoona
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Ni wakati sasa wa kumshukuru Mungu maisha yasonge
Kwani mkuu yeye ana tatizo? Amejibu wale wanasema kuwa kwanini anafurahia na kuishukuru mahakama.
 
Hivi we ni kee dia ee
Ok tuje kwenye mada huyu binti hakuanza naye pale walituhadaa tangu akiwa na miaka 15 hao

Sasa dia ukisema embe bado changa wenzio wanalila na chumvi
Huyu lazima angeenda jela
Kanumba alimuharibu sana huyu dogo.
Alifanya tabia mbaya sana angefungwa kifungo kirefu tu.
 
Wabongo bwana shida mama anataka kulabwa hadi nyayo
Na kilichomfunga binti ni kuua bila kukusudia
Jamaa alibugia nipombe kumbu ana matatizo yake na haielezwi kijana mdogo kama kanumba alikuwa na daktari wake maalumu wa nini alikuwa na shida huyu mtu. Shida kubwa iliyompelekea kifo
 
Unashangaa leseni ????? [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kashangae twiga akiingia kwenye ndege bila kuoneka
Haha haaa
Mkuu
just haaahaaaa
Hukai Tanzania eeee
Hapo unazungumzia ujanja. Kwangu naangalia sheria, huo ujanja ndio uliosababisha Lulu kujichanganya katika kujitetea. Vyote vyote vile huyu alikuwa mkubwa.
 

Ni wanafunzi wangap mitaan tunapoishi wanaotembea na mizee na wapo under 18 ushawah kwenda kuwashtak au kuripot ata polisi!?? Au likitokea ndo tunakua wa kwanza kulaumu!?
Binafsi ninaona adhabu n fair compared to kosa
Ni nan mwingine aliua bila kukusudia alifungwa miaka 2?
 
Sheria inasemaje kuhusu kutembea na msichana wa umri mdogo? Ni jela tu tena alikuwa mwanafunzi jelaaaaaaaa
Ni Mzazi gani aliyelalamika Juu ya Tabia Mbovu za Ukubwa alizokuwa anafanya Lulu tena akiandikwa kwenye Magazeti? Ni Kati yenu ambaye aliwahi hata kumkea au kumkanya kuwa umri haujafika mpaka leo muone kuwa Marehemu alikuwa anambaka? Ni wapi Lulu aliwahi kulalamika kuwa amebakwa na wanaume? Na kabla ya Kuwa kwenye mahusiano na Kanumba ni wangapi wameshampitia Lulu mpaka leo Marehemu ndiyo anyoshewe kidole ya kumbaka Lulu.. Ni nani asiyekuwa anajua Kuwa Lulu alikuwa na mhusiano na Marehemu Komba? Ebu acheni kujitoa fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…