Mama Kanumba: Lulu ameenda miaka 2 jela na atatoka, Kanumba hatarudi tena

Aliyesababisha? Are you ok?
 
Ila kanumba naye anamakosa sana tamaa zimemzidi bwana mpaka katoto kama lulu anakaingizia mambo sio haki
 
Hebu tusaidia kuwaambia
 
Waache kabisa unaafiki
 

Una ushaid wowote kua alikua anaumwa magonjwa hayo ya moyo!?
Tena lulu ashukuru maana hii kesi ingepata lawyers wazuri angefungwa maisha!!!!
Why ushaid wa josephine mushumbush haukuhojiwa!? Before ushawah kujua kua mushumbushi n tabibu!?
Kuna maswali mengi sana ambayo ukiangalia unaona kabisa limeachwa lipite

Mama lulu anavolia saiv kwa uchungu tegemez wake kuwekwa jela....ndivo mama kanumba anavolia kila siku iendayo kwa Mungu mwanae aliekua anamtegemea hayupo na hatarud tena!!!!

Binafsi simchukii lulu ila adhab alopewa n fair saaaana
 
Mbna Sheria izo izo znaruhusu ndoa Kwa msichana WA miaka 14?kwa up Sheria hapo itafungwa Kwa kumbaka msichana?
 
Ila kanumba naye anamakosa sana tamaa zimemzidi bwana mpaka katoto kama lulu anakaingizia mambo sio haki

Mtaani kwako kuna wanaume wangap watu wazima wanaotembea na wanafunzi.....ushawah kwenda kulalamika polisi!????
Lulu alikua na skendo ngap kabla ya kua na kanumba!?
Si watu kibao tu wamepita
Je ulisikia lulu au mzazi wake akilalamika kua lulu anabakwa!?
 
Huyu mama anatafuta public attention en sympathy...apambane na hali yake!
 
Kama kanumba asingekufa angefungwa jela miaka 30 au zaidi kwa kutembea na binti wa Chini ya miaka 18
Watanzania ni wanafiki sana aisee.......... Leo hii watu wote wamekuwa nyuma ya Lulu wakimtukana Kanumba na kumtetea Lulu wakati kipindi kile cha msiba watu hawa hawa ndo walimpiga mawe Lulu kama mwuaji wa kipenzi chao(Steve) na kuomba hata akifungwa ni nzuri sana.....

sasa inakuwaje watu ghafla wabadilike na kuanza kumnanga kanumba na kumwona mbakaji???
watu jifunzeni kusimamia mnachokiamini.

SI magazeti si redio woote hasira zao na ukigeugeu wao na unafiki na uzandiki wanahamishia kwa WAKILI KIBATALA ETI KASHIDWA kumtetea Lulu..... Jamani tusiwe wanafiki kupita kiasi tukasahau jana yetu na kuiona leo pekee huku tukishindwa kuifikiria kesho nayo inakuja vipi?

WATANZANIA ACHENI UNAFIKI......

Utoto wa lulu kipindi hicho hauondoi uhalali wa sheria leo. Inawezekana asiyefunzwa na wazazi ulimwengu utamwangukia.... au asiyesikia la mkuu mguu huvunjika vibaya sana, leo watanzania wamesahau tabia zote chafu chafu za Lulu na maskendo maovu ovu ya lulu hadi wanamwona hana hatia, leo watu wanamwona alikuwa mtoto wakati kipindi hicho ashajua kwenda club sijui beach mida michafu na wanaume tena kwa kubadilisha kama pichu yake....

Ziko wapi tuhuma za yule msanii wa bend ile ya chama tawala na huyu tunayemwita mtoto?? Kwa kifupi huyu dogo acha akatumikie yamkini atarudi kabadilika na kuwa mama bora wa hapo baadae na kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.
LULU AKIACHIWA LEO AKAWA HURU NDO MWISHO WAKE NA UMAARUFU WAKE. WACHA AENDE AKAPUMZIKE HUKO APATE EXPERIENCE NYINGINE YAMKINI ANAWEZA KURUDI KASHAKUWA MCHUNGAJI MZURI AU MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MZURI KABISA.SAA ZINGINE TUJIFUNZE KUNYWEA KIKOMBE HATA KAMA NI KIZITO NA KICHUNGU ILI KUTIMIZA KUSUDI.

MUNGU ANA MPANGO NA LULU DUNIANI NDO MAANA ALIZALIWA. Lulu hakuzaliwa aje kuwa malaya hapa duniani,Mungu sidhani kama anafurahi kumwona lulu hivi alivyo leo!

WATU TUJIFUNZE KUSEMA MAPENZI YA MUNGU YATIMIZWE TUSIJE KUWA TUNAMWUZI MUNGU BURE....

MWACHENI lULU akatumikie hiyo adhabu ili iwe funzo kwa wengine pia.

WATANZANIA ACHENI UNAFIKI.....
 
Aisee ungesamari ili nisome ujue Nina kazi nyingine eti
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tunatofautiana mitazamo tu yeye angeruhusu moyo tu ukubali sababu huwezi shindana na nature zaid tumuombee tu kanumba tuamini ipo siku tutaonana nae sie ni wapangaji tu wa dunia hii hapa sio kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…