Mama Kanumba, Mama Lulu kimenuka

Mama Kanumba, Mama Lulu kimenuka

Nahis mama k anataka awe anahudumiwa na lulu km si walivyokubaliana kipind kile cha kesi ss akisikia au kuona lulu yuko vzuri mapati halafu hamkumbuki kwa chochote ndio anapoumia na kuanza manung'uniko

Ilo nalo neno unajua lulu alifanyiwa kitendo kibaya nae sio kosalake alikua anajihami
 
alifanyiwaga kitendo gani aisee? naona mi nilipitwa na ubuyu huu

Si anasemekana kanumba alimpa mimba afu kamwambia lulu atoe lulu kakataa so akanza kumpiga alimpiga kammasaa sita iv so ktk kujihami akamsukuma kaanguka mpaka kufa ndo manino ya watu si mm source
 
asante, sikuwahi kusikia hili
 
Si anasemekana kanumba alimpa mimba afu kamwambia lulu atoe lulu kakataa so akanza kumpiga alimpiga kammasaa sita iv so ktk kujihami akamsukuma kaanguka mpaka kufa ndo manino ya watu si mm source

Halafu mimba ikaenda wapi, au lulu ana mtoto wa Marehemu?
 
Huyu mama ivi hana mtoto mwengine au mtu wake wakaribu akamfundisha kukaa mjini? anafanya vitu vya ajabu....
 
Si anasemekana kanumba alimpa mimba afu kamwambia lulu atoe lulu kakataa so akanza kumpiga alimpiga kammasaa sita iv so ktk kujihami akamsukuma kaanguka mpaka kufa ndo manino ya watu si mm source

lulu alikua anaongea na simu chumbani kanumba alikua anaoga
so kanumba alivyotoka bafuni lulu akaanza kujihami na simu ndo ugomvi ulipoanzia na siku chache kabla hajafa kanumba lulu kuna pedeshee lilimleta mtwara kumla
 
Back
Top Bottom