Nahis mama k anataka awe anahudumiwa na lulu km si walivyokubaliana kipind kile cha kesi ss akisikia au kuona lulu yuko vzuri mapati halafu hamkumbuki kwa chochote ndio anapoumia na kuanza manung'uniko
Ilo nalo neno unajua lulu alifanyiwa kitendo kibaya nae sio kosalake alikua anajihami