Nahis mama k anataka awe anahudumiwa na lulu km si walivyokubaliana kipind kile cha kesi ss akisikia au kuona lulu yuko vzuri mapati halafu hamkumbuki kwa chochote ndio anapoumia na kuanza manung'uniko
Ilo nalo neno unajua lulu alifanyiwa kitendo kibaya nae sio kosalake alikua anajihami
alifanyiwaga kitendo gani aisee? naona mi nilipitwa na ubuyu huu
Si anasemekana kanumba alimpa mimba afu kamwambia lulu atoe lulu kakataa so akanza kumpiga alimpiga kammasaa sita iv so ktk kujihami akamsukuma kaanguka mpaka kufa ndo manino ya watu si mm source