Ushauri mzuri watu saivi wanaekeza kwenye majumba biashara itakufa bure kwa kipindi hiki ila nyumba haitakufa abadan utapata pesa na nyumba yako pia utakuwa nayoAjenge nyumbani zingine apangishe aachane na biashara ya pikipiki, hiyo ni biashara kichaa vijana ni wahuni sana.
😂😂😂😂😂Anunue dhahabu
Ajenge nyumbani zingine apangishe aachane na biashara ya pikipiki, hiyo ni biashara kichaa vijana ni wahuni sana.
Anunue dhahabu
Yaani hii inaonyesha jinsi ngozi nyeusi tulivyo mbumbumbu ktk kupanga mipango ya maendeleo baada ya kustaafu!Habari za leo wakuu , samahan, naomben mawazo yenu mama yangu amepata mafao ya kustaafu , ameniomba nmshauri afanyaje, yupo maeneo ya iringa , nimesema sehemu ili hata unapotoa ushauri uangalie na mazingira, japo nilikua nimeanza kubainisha baadhi ya vitu ,kama anunue pikipiki tuweke vijana,, pia ana nyumba zake wamepanga wanafunzi , nimemshauri aikarabati iwe na hadhi ya kukaa familia, naomben mniongezee mawazo mengine
Especially nyumba za kupanga maeneo ya chuo au karibu na townAjenge frem za biashara
Nyumba za kupanga
Biashara hizo sio pasua kichwa..kwa umri wake zinamfaa kabisa
aanze kuuza donatiHabari za leo wakuu , samahan, naomben mawazo yenu mama yangu amepata mafao ya kustaafu , ameniomba nmshauri afanyaje, yupo maeneo ya iringa , nimesema sehemu ili hata unapotoa ushauri uangalie na mazingira, japo nilikua nimeanza kubainisha baadhi ya vitu ,kama anunue pikipiki tuweke vijana,, pia ana nyumba zake wamepanga wanafunzi , nimemshauri aikarabati iwe na hadhi ya kukaa familia, naomben mniongezee mawazo mengine
Kweli kabisaAjenge nyumbani zingine apangishe aachane na biashara ya pikipiki, hiyo ni biashara kichaa vijana ni wahuni sana.