Sinto shangaa vijana wenye adabu ndogo wakikuomba namba ya bimkubwa...teh[emoji28]Habari za leo wakuu , samahan, naomben mawazo yenu mama yangu amepata mafao ya kustaafu , ameniomba nmshauri afanyaje, yupo maeneo ya iringa , nimesema sehemu ili hata unapotoa ushauri uangalie na mazingira, japo nilikua nimeanza kubainisha baadhi ya vitu ,kama anunue pikipiki tuweke vijana,, pia ana nyumba zake wamepanga wanafunzi , nimemshauri aikarabati iwe na hadhi ya kukaa familia, naomben mniongezee mawazo mengine
Mkuu mimi nataka namba yake nimuunganishe na mafundi wanaojenga kwa bei poa[emoji41][emoji23][emoji23]Sinto shangaa vijana wenye adabu ndogo wakikuomba namba ya bimkubwa...teh[emoji28]
Shkamoo Jf.....teh[emoji28][emoji28]Mkuu mimi nataka namba yake nimuunganishe na mafundi wanaojenga kwa bei poa[emoji41][emoji23][emoji23]
ShidaaaaShkamoo Jf.....teh[emoji28][emoji28]
Mkuu anasema anaona usumbufu wa kusimamia ujenziAtafute sehemu nzuri penye watu na eneo lenye hatimiliki na vipimo vya ardhi vinavyotambulika, alafu anunue hilo eneo ajenge nyumba either ya kupangisha kwa mtu mmoja mmoja au ajenge guest house. Pesa itayobaki atulie tu atumie kwa matumizi yake binafsi, amshukuru mungu kumpa uhai mrefu. Msimshauri afanye biashara huu ni muda wake wa kupumzika.
Ni kweli Vijana wanapenda mteremkoSinto shangaa vijana wenye adabu ndogo wakikuomba namba ya bimkubwa...teh[emoji28]
Mkuu anasema anaona usumbufu wa kusimamia ujenzi
samahan mkuu naomba unieleze vizuri kuhusu fixed accountwatoto wake hamuwezi kumsaidia kusimamia ujenzi?
kama ujenzi hataki aweke fixed deposit 90% ya mafao awe anakula riba tu
ni nini maana ya kuita JF ni jukwaa la GREAT THINKERS mkuu? mtendee haki muomba ushauri, hayo mengine baki nayo mwenyewe.....Yaani hii inaonyesha jinsi ngozi nyeusi tulivyo mbumbumbu ktk kupanga mipango ya maendeleo baada ya kustaafu!
Huyo mama yetu alijua siku moja atastaafu (ktk ideal condition kwamba kifo baadaye) na yawezekana kadunda miaka zaidi ya 30 kazini, inashangazi kwamba baada ya kupata 'mpunga' wake, amechanganyikiwa na hajui nini afanye! All in all, Kwani hana ndugu wa karibu wenye busara na hekima wampatie ushauri mzuri nini afanye? Hapa jukwaani utapigiwa 'miluzi' mingi hadi utachanganyikiwa.
Have a good luck!
Anaweza pia kupata ushauri kwa wajuzi wa mambo ya dhamana za Serikali kwani nimeliona tangazo kwenye social media likinadi juu ya mambo ya dhamana za serikali Benki Kuu.watoto wake hamuwezi kumsaidia kusimamia ujenzi?
kama ujenzi hataki aweke fixed deposit 90% ya mafao awe anakula riba tu
dom sahvi nyumba zinshuka thaman watumish walishahamia wote wameeneaMshauri Mama ajenge nyumba za kupanga Dodoma
Kiufupi mafao ya kustaafu sio ya kuanzisha biashara au hata kusomesha watoto /ujenzi Wa nyumba ya kuishi sasa kwa vile alishaanza kuwa na wanafunzi wapangaji ni bora kuimarisha na kujiwekea akiba apate matumizi na matibabu yakeAjenge nyumbani zingine apangishe aachane na biashara ya pikipiki, hiyo ni biashara kichaa vijana ni wahuni sana.
Duuuh anataka anunue pikipiki maana amna usumbufu wa kununua vile ana hela ni sawa pia boss maana mambo yasiwe mengi na mengi yasiwe mamboMkuu anasema anaona usumbufu wa kusimamia ujenzi
Kwahiyo unataka aweke chini ya mto awe anajichukulia kidogo kidogo?Kiufupi mafao ya kustaafu sio ya kuanzisha biashara au hata kusomesha watoto /ujenzi Wa nyumba ya kuishi sasa kwa vile alishaanza kuwa na wanafunzi wapangaji ni bora kuimarisha na kujiwekea akiba apate matumizi na matibabu yake