HahaaaKwahiyo unataka aweke chini ya mto awe anajichukulia kidogo kidogo?
GentaYaani hii inaonyesha jinsi ngozi nyeusi tulivyo mbumbumbu ktk kupanga mipango ya maendeleo baada ya kustaafu!
Huyo mama yetu alijua siku moja atastaafu (ktk ideal condition kwamba kifo baadaye) na yawezekana kadunda miaka zaidi ya 30 kazini, inashangazi kwamba baada ya kupata 'mpunga' wake, amechanganyikiwa na hajui nini afanye! All in all, Kwani hana ndugu wa karibu wenye busara na hekima wampatie ushauri mzuri nini afanye? Hapa jukwaani utapigiwa 'miluzi' mingi hadi utachanganyikiwa.
Have a good luck!
Ushauri wa maana,Dunia nzima sasa wamegundua umuhimu wa kuhifadhi dhahabu badala ya pesa,Dhahabu aijawahi anguka katika bei,Na miaka inavyoenda ndiyo thamani yake inazidi kupanda.Anunue dhahabu
Mnaropoka tu karibu na town na maeneo ya chuo bila kujua thaman ya viwanja maeeneo hayo....hiyo thaman ya viwanja inaweza wagharimu mafao yao yoteEspecially nyumba za kupanga maeneo ya chuo au karibu na town
Yupo mkoani iringa huko, na sio kila chuo kipo mjiniMnaropoka tu karibu na town na maeneo ya chuo bila kujua thaman ya viwanja maeeneo hayo....hiyo thaman ya viwanja inaweza wagharimu mafao yao yote
Ndugu ngoja nikwambie ukweli bila kuficha.Habari za leo wakuu , samahan, naomben mawazo yenu mama yangu amepata mafao ya kustaafu , ameniomba nmshauri afanyaje, yupo maeneo ya iringa , nimesema sehemu ili hata unapotoa ushauri uangalie na mazingira, japo nilikua nimeanza kubainisha baadhi ya vitu ,kama anunue pikipiki tuweke vijana,, pia ana nyumba zake wamepanga wanafunzi , nimemshauri aikarabati iwe na hadhi ya kukaa familia, naomben mniongezee mawazo mengine
Achana nayo hyo haina maana.samahan mkuu naomba unieleze vizuri kuhusu fixed account
Ushauri huu utamsaidia hata mjukuu wake. B blessed bro.Kwasasa achukue pesa robo tatu ya pesa yote aliyo nayo aweke fixed account kwa muda hata wa miaka miwili,
Then hiyo pesa inayobaki ndo afikirie biashara ya kufanya( pia anaweza chukua nusu tunya iliyobaki)
Kama biashara itakuwa inalipa na kuzalisha baada ya muda anaongeza pesa nyingine na maisha yanaendelea
Hizo boda boda ataangukia pua mpaka atashangaa
Mtu anaomba ushauri unatoa wosia. Mwaga ushauri mkuuYaani hii inaonyesha jinsi ngozi nyeusi tulivyo mbumbumbu ktk kupanga mipango ya maendeleo baada ya kustaafu!
Huyo mama yetu alijua siku moja atastaafu (ktk ideal condition kwamba kifo baadaye) na yawezekana kadunda miaka zaidi ya 30 kazini, inashangazi kwamba baada ya kupata 'mpunga' wake, amechanganyikiwa na hajui nini afanye! All in all, Kwani hana ndugu wa karibu wenye busara na hekima wampatie ushauri mzuri nini afanye? Hapa jukwaani utapigiwa 'miluzi' mingi hadi utachanganyikiwa.
Have a good luck!
Kuna mzee mwanzilishi wa KFCHakuna mstaafu aliyetajirika kwa kuwekeza pension. Hiyo hela mwambie ale pole pole asogeze miaka mingine mitano ya maisha yake. Asisahau kununua ka Vitz ili naye atembee akiwa amekaa.
Alishindwa kufanya akiwa na nguvu na macho yakiwa imara,je ataweza wakati nguvu na macho zilishaanza kufifia?Anunue dhahabu
Safi hiiAjenge hostel nzr kwa ajili ya wanafunzi wa Chuo hapo iringa. I’m very sure hyo itamlipa
Yupo mkoani iringa huko, na sio kila chuo kipo mjini