Kwa hakika kwa jiji la Mwanza hizi kwa sasa ndio kero kuu.Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:
👉 Mama, ukitatua tatizo la maji na barabara, hakuna atakayebaki na hoja Oktoba – kaulimbiu yenu itafanya kazi moja kwa moja.
- Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi:
- Hata mgao wa siku mbili kwa wiki uliokuwepo awali haupo tena.
- Juzi, baada ya kelele nyingi za wananchi, maji yalirudi lakini kwa spidi sifuri (0).
- Wananchi wanateseka sana: wananunua maji kwa shilingi 2,000, wengine hawana kabisa. Hii ni hali ya fedheha na mateso yasiyo na kifani.
- Mama, uliza hadharani: Hii ni uzembe wa makusudi au kuna wanaokuhujumu? Huu ni wakati wa kutoa kauli kali ya utenguzi – wananchi hawawezi kuendelea kuvumilia mateso haya.
- Piga marufuku idara ya maji kufanya biashara ya maji kwa kuuza maji kwenye magari yao yanatoka idara huu ni mradi wa hovyo sana ambao usipo dhibiti ndio inakua hila yao ili wafanye biashara.
- Barabara – Hali ya Mabatini na Mkuyuni ni aibu kubwa. Ni vipande vidogo tu, lakini mkandarasi hafanyi kazi kwa uharaka. Foleni zimekuwa mateso ya kila siku, watu wanasota masaa barabarani. Hii ni barabara kuu ya jiji, haiwezekani ikakaa mwaka mzima bila kukamilika.
- Mama, ukifika Mkuyuni, simama hadharani na utembelee vipande hivyo. Wananchi wanataka majibu ya papo kwa papo.
Tunasisitiza pia usimame na kusikiliza wananchi uso kwa uso katika maeneo haya: Buhongwa, Mkolani, Nyegezi Stend, Mkuyuni na Mabatini. Wasikwepeshe dai kwa nguvu ujionee hali yenyewe.
Heeee! Wacha aje tuone🥲Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:

Mwaka??wakati tangu nasoma chuo linajengwa🤣Kwa hakika kwa jiji la Mwanza hizi kwa sasa ndio kero kuu.
Niliko pitisha usiku, wenyeji wanalalamika hawajapata maji kwa zaidi ya mwezi na haijulikani lini tayatoka. Ni mateso.
HNiko hapa Mkuyuni kuna daraja la mita 15 linajengwa kwa mwaka sasa, foleni yake sio.mchezo.
Pamoja na ziara, watu wa Mwanza mjitambue, pale Kimara wamepelekewa mabasi hata bila kuwepo.na mkutano wa kampeni.
Narejea tena kukariri maneno ya Bob Marley:" in abudance of water the fool is thirsty"
Kwa mujibu wa Tanroads kampuni ya Jasco imesaini mkataa mwezi Novemba mwaka jana kwa ajili ya ujwnzi wa daraja hilo kwa muda wa miezi 12..Mwaka??wakati tangu nasoma chuo linajengwa🤣
Hmm labda la mabatini, lakini mkuyuni wana kazi ya kubadilisha njia za vumbi tuKwa mujibu wa Tanroads kampuni ya Jasco imesaini mkataa mwezi Novemba mwaka jana kwa ajili ya ujwnzi wa daraja hilo kwa muda wa miezi 12..