Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Huu ndio ukweli mchungu
CCM hawajui walitendalo!
Wanasahau Mbowe kashindwa uchaguzi na anaonekana kuwa na kinyongo.
Wanasahau wazungu wanafika mahakama kufuatilia kesi ya Lissu na huyo Mbowe haonekani.
Hata wageni leo watakuwa wamemshangaa Mbowe asiefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu lakini anapata muda wa kuhudhuria shughuli ya kiserikali(hawajaamini).
Labda Mama angepiga picha na John Heche, ndio ingeshitua watanzania na wageni wengine wa kimataifa ila sio Mbowe
Tumieni vichwa kufikiri sio kufugia nywele.