Mama kashikana mkono na Mbowe mbele ya hadhara ili kuihadaa Jumuiya ya kimataifa ila ajue .Kesi ya Lissu ndio kila kitu sio Mbowe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Huu ndio ukweli mchungu

CCM hawajui walitendalo!

Wanasahau Mbowe kashindwa uchaguzi na anaonekana kuwa na kinyongo.

Wanasahau wazungu wanafika mahakama kufuatilia kesi ya Lissu na huyo Mbowe haonekani.

Hata wageni leo watakuwa wamemshangaa Mbowe asiefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu lakini anapata muda wa kuhudhuria shughuli ya kiserikali(hawajaamini).

Labda Mama angepiga picha na John Heche, ndio ingeshitua watanzania na wageni wengine wa kimataifa ila sio Mbowe

Tumieni vichwa kufikiri sio kufugia nywele.
 
Bad enough huyo mtu tayari amesha Anza kupoteza milage ya kisiasa so Hana jipya

Hapo ameshapewa ten percent yake mfuko umetuna ana furahi mwenyewe kuwauza vijana Wala Hana hata chembe ya majuto 🤣🤣🤣

Ila hii nchi Kila mtu lazima awe mpigaji Kmmk so kama ma- role model ndio wapo hivi Next gen itafanyaje !?
 
Mbowe kwa sasa ameshadharaulika na wengi.
 
Mwamba Mbowe na mama washikana mkono kuonesha UMOJA wa nchi
 
Ngoja tusubiri huenda huyu Wembo ana madudu makubwa ambayo anajua CDM wanayafahamu ndio mana alikua akilazimisha kuendelea kuwepo pale kama kiongozi mkuu kuona ameshindwa inabidi itumike hila kuinyamazisha CDM nzima swali linakuja je ataweza ?Wakati na upepo hauko upande wake kabisa apige hesabu zake vizuri


No reform No Election
 
Huyu mbowe anatumika kutubomoa chadema na kutuhadaa .naomba tumutoe na kunnyanganya uanachama .atatusumbua sana .
 
Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
 
Hii michezo yote inaongozwa na JAKAYA MRISHO KIKWETE. ANAJUA AMEKOSEA Ila Jakaya anaamini kwamba dunia imesimama.
Huyu anajua kanuni na chama chake zimekiukwa kwa sababu ya ushauri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…