Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
JMushi, una bugi stepu ukidhania kwamba Malecela kweli anania mafisadi wakamatwe!
...Muda si mrefu ataanza kusema watu waingie msituni kumwaga damu ya Mama Malecela na Zitto.
Foulplay!
Unarusha low blow tupu, siamini JMushi amekutingisha hivi!
I really can't believe it. LOL!
Wakipata sapoti ya viongozi wa dini...Ngoma ntolee!
NCHI IPO MIKONONI MWA WACHAWI NA WATANZANIA HAWAONI HILO?
AMA NA WAO WAMEROGEKA KAMA WABUNGE WETU WAPENZI AMBAO SASA WANAONGEA KAMA VICHAA!?
KWANZA NAMSHAURI MAMA KILANGO AENDE AKAOMBEWE ILI HAYO MAPEPO YATOKE..BAADA YA HAPO ATAUJUA ULE UPANDE WA HAKI NA HIVYO KUENDELEZA YALE MAPAMBANO ALIYOYAANZA TOKA LOWASSA AKIWA MADARAKANI!
Sasa Mama Killango si Fisadi tuu bali ana mapepo?
Sasa Mama Killango si Fisadi tuu bali ana mapepo?
kwi kwi kwi....
Yaani sina mbavu...
Talk about kuja JF ili kuivuruga.
Kwi kwi kwi, hii sasa inazidi kipimo Rev na inaanza kuchekesha sasa.
Kwi kwi kwi, too much joint taking 😛
Tell me about it.
Ukisikia JF imevamiwa kuvurugwa basi huna sababu ya kwenda mbali.
Mimi naangalia tu hili litaisha vipi, JF ilianza kutuhumiwa kuwa anti -Govt na sasa inaanza kutuhumiwa kuwa Pro-Govt huku wito ukitolewa wa kuingia msituni na kumwaga damu na wasioipenda JF.
Kuna kazi kweli hapa.
Rev hii ni below the belt...Apologize plz.
Usiwapotoshe wana jf.
Mimi si PRO GOVT.
Mushi,
My apologies for calling you a Pothead, I was wrong and it is uncalled for. My deepest apologies.
Sidhani kama nitakuwa kichaa kumwita mtu aliyeitisha watu kuingia msituni ili kumwaga damu Tanzania kuwa ni pro govt.
Wewe na mtandao wako mnadai kuwa JF ni pro Govt wakati Masaka na wenzake wanadai kuwa JF ni anti Govt.
Kazi sasa.... nani mkweli? Mushi au Masaka? au wote wanasema bila kuwa na uthibitisho?
Hakuna mahali niliposema jf ni pro govt.
However kuna mgawanyiko na nilishautabiri.
Mushi,
My apologies for calling you a Pothead, I was wrong and it is uncalled for. My deepest apologies.
Hopeful all those who offend others would take a note and behave likewise. I asked one prominent member to do the same but instead got even more insults from him and his cheersleader. Kudos Rev.
Mgawanyiko hapa JF umekuwepo kuanzia siku ya kwanza na wale memba waliohamia hapa toka Business times walikuwa wamegawanyika hata wakati wa uchaguzi wa 2005 wa ccm ambapo kuna wengine walimtaka Kikwete, Malecela, SAS, Mwandosya na kadhalika.
Migawanyiko ipo na sio wewe umeianzisha. Na kama ulidhani kuwa itakwisha hapa au Tanzania basi unajidanganya. Wanadamu wataendelea kutofanana kimtizamo mpaka siku ya kiama.
I hope utaelewa hilo na uachane kabisa na mawazo ya kuingia msituni pale unapokosana na wenzako.
MWK mgawanyiko huu wa jf ni kioo cha TAIFA KWANI NALO PIA LIMEGAWANYIKA KAMA WALIVYOTAKA MAFISADI!
Tuko kwenye defining moment!
TAIFA LIKO NJIA PANDA NA USIFANANISHE MGAWANYIKO HUU NA MINGINE YA HAPA JF!