Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
JMushi, una bugi stepu ukidhania kwamba Malecela kweli anania mafisadi wakamatwe!
Mushi sio kwamba anadhani tu, anasema pia hayo. Muda si mrefu ataanza kusema watu waingie msituni kumwaga damu ya Mama Malecela na Zitto.