Mama kwa vijana huyu!

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,746
Huyu ni Madonna,yaani anaonekana kwenye maisha yake hataki kusikia kabisa wanaume wenye umri uliozidi miaka 30.Kwa sasa akiwa 53 anatoka na dancer wa kifaransa Brahim Zahibat 24,wakiwa na tofauti ya miaka 29
Mwaka 2009,introduced brazilian model,Jesus Luz aliyekuwa 22,madonna alikuwa 51.Walikuwa na gape ya 29yrs.
Guy Ritchie,mume wake wa mwisho walikutana 1999 wakiwa na gape ya miaka kumi

Before Guy Ritchie,1995 Tupac Shakur alikuwa anatoka na bi mkubwa,wakiwa na gape ya 13 years.
Carlos Leon,baba wa mtoto wake wa kwaza,walikuwa na tofauti wa miake 8

Mwanzo mwa miaka ya 90,wakati Vanila Ice yuko kivula,alikuwa kwenye romance na Madonna.10yrs different.
 
mapenzi hayana umri,ili mradi mnaelewana na mnapendana .
 
Huyu hakustahili kuwa Mama anawaonesha mfano gani hao watoto,Mkitaka usawa kama huu Msizae.
 
Raha jipe mwenyewe......bana kama wapo vijana kwanini ajichoshe na wanaotumia vigra
 
Halafu hawa wanaitwa Role Models!

Hiyo cha mtoto nimewahi ona mama wa 52 na kijana wa19,unajua nilichoka...sijui huwa wanaangaliana usoni au wanafungaga vitambaa!
 
Mzee lakini mzuri halafu tajiri,ajipitishe kwangu aone simuachi milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…