Mama kwenda ziara Urusi ni tumekuwa loosers

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.

Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
 
Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa . Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
anawashwa hakai DODOMA kabisa
 
Anaenda kwa wauaji wenzake .
 
Anadhani kwenda Urusi anawatisha Marekani.
 
Don't underestimate Russia please.
Urusi ni dude kubwa.
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa . Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Yeye ni proven dictator tena la kike lazima aende kwa madiktata wenzie
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa . Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Ni namna yake ya kuupiga mwingi aidha ujae pomoni au umwagike chini.
 
Huko anaenda kuchukua kandarasi ya kutengeneza sumu... Urusi ndio kinara wa sumu Duniani hata nyoka Cobra, Koboko au sijui Kifutu wakajifunze huko...

Urusi Hana biashara zaidi ya Uranium tuu...
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.

Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Muwe mnaficha ujinga aisee
 
Back
Top Bottom