Mama kwenda ziara Urusi ni tumekuwa loosers

😅 Kwa Trump ndio basi tenaaa, maana Trump na ukichaa wake asinge shindwa kumuanzishia zogo la october live live , nakumbuka Zele alipigwa spana kidogo alie
Kwa trump anafikaje !? Trump ana ego sana Umesha wahi kumuona akipokea maraisi wa Africa hovyo hivyo !?

Sàna sana alikwenda raisi wa SA tu na Raisi wa congo na Rwanda na huko kote ni Kwa kuwa USA wana maslahi Nako mapana sana na pia panagombaniwa mnooo
 
Na kenya pia Rutto alienda. Viongozi wa Africa wanazingua wanafikia, nje ya madhaifu ya Trump, huwa kuna mda anasema ukweli
 
Muache aondoke tu ili mpate muda wa kupindua nchi. Maana akiwa hapa Tanzania hamuishi kusema kuwa anaogopa kutoka nje ya nchi eti ICC watamkamata!!

Mara hata Magogoni hayupo anaishi Kizimkazi tu. Watanzania hasa CHADEMA hamuishiwi maneno.

Haya anzisheni maandamano mpindue sasa, si hayupo!! Nyambaaaf
 
Mshauri wake wa masuala ya kigeni ni yule Kombo mnategemea nini?

Hapo utakuta kamshauri aende huko ili kuwatisha Marekani na Ulaya!

Halafu Putin sasa hivi ana fupa lake la vita pale Ukraine anahangaika nalo kwa hiyo huyu bibi asitegemee lolote la maana toka huko.
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.

Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Wale mabepari wakubwa kwanza hawana upendo na Africa labda tu vikwazo walivyowekewa .Watachukua madini yetu yote hasa wanapenda Uranium.
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.

Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
India,Russia and china ndiyo rafiki zetu wa kweli wa damu,toka enzi na enzi, utengamano wetu hauwezi kusitishwa kisa imewekewa vikwazo tutaendeleza umoja na mshikamano wetu daima na milele,nyie vijana wa 🌈 hatuwakatazi pia shikamaneni.
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.

Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Sijui ni nani huyo anayemshauri rais vibaya namna hii!
 
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?

Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.

Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
anaenda kuwatafutia GenZ wa bongo kazi katika majeshi ya Urusi yanayopigana vita huko Ukraine
 
Tanzania inahitaji mbolea na Ngano unazani zinatoka wapi?

Tumeona ubora wa siraha za kivita za kirusi, unaonaje tukiagiza hata AK 203 kutulindia mipaka yetu badala 81_1 za kichina 😁😁😁😁😁😁😁

Namaanisha kuanzia drones, magari vita, Thermobaric rockets, missiles.

Unaonaje tukiongeza magari aina ya Iveco na vile vifaru vyao maana vimeonyesha ubora wake.

Tunaweza agiza gari zao aina ya Lada ila za Sasa ni za kisasa zaidi na aina nyingine zinazo tengenezwa pale.

Umeme kupitia madini ya Uranium ambayo utakuwa nafuu zaidi

Tekinolojia ya vifaa tiba na tiba

Tununue ndege zao za abiria maana MC100, Sukhoi100 ndio habari ya mjini kureplace maboeing.

Wana zile train zao za mwendo Kasi , tuilete kwenye SGR.

Usisahau ule mfumo wao WA fedha ili tuweze kukwepa dollar siku marekani akiamua kutufungia.

Kuna mengi ikiwa tupo serious na Taifa letu
 
Mshauri wake wa masuala ya kigeni ni yule Kombo mnategemea nini?

Hapo utakuta kamshauri aende huko ili kuwatisha Marekani na Ulaya!

Halafu Putin sasa hivi ana fupa lake la vita pale Ukraine anahangaika nalo kwa hiyo huyu bibi asitegemee lolote la maana toka huko.
Screenshot_20260527-150832~2.png
9
 
Back
Top Bottom