Kwa trump anafikaje !? Trump ana ego sana Umesha wahi kumuona akipokea maraisi wa Africa hovyo hivyo !?π Kwa Trump ndio basi tenaaa, maana Trump na ukichaa wake asinge shindwa kumuanzishia zogo la october live live , nakumbuka Zele alipigwa spana kidogo alie
πMuwe mnaficha ujinga aisee
Na kenya pia Rutto alienda. Viongozi wa Africa wanazingua wanafikia, nje ya madhaifu ya Trump, huwa kuna mda anasema ukweliKwa trump anafikaje !? Trump ana ego sana Umesha wahi kumuona akipokea maraisi wa Africa hovyo hivyo !?
SΓ na sana alikwenda raisi wa SA tu na Raisi wa congo na Rwanda na huko kote ni Kwa kuwa USA wana maslahi Nako mapana sana na pia panagombaniwa mnooo
YapNa kenya pia Rutto alienda. Viongozi wa Africa wanazingua wanafikia, nje ya madhaifu ya Trump, huwa kuna mda anasema ukweli
πππHuko anaenda kuchukua kandarasi ya kutengeneza sumu... Urusi ndio kinara wa sumu Duniani hata nyoka Cobra, Koboko au sijui Kifutu wakajifunze huko...
Urusi Hana biashara zaidi ya Uranium tuu...
software gani wanatengeneza?
Ni kweli si uliona alivyoawasaidia Asad na Ayatollah wakaoata ushindiDon't underestimate Russia please.
Urusi ni dude kubwa.
Kwa ajili ya zenji labdaKwa nini auze? Kwani sisi hatutaki kurutubisha urani tupate umeme? Anaenda kununua Teknolojia ya kufua Umeme wa urani. Kwa hiyo ni gainers na si loosers. Nawaza tu...!!!
Wale mabepari wakubwa kwanza hawana upendo na Africa labda tu vikwazo walivyowekewa .Watachukua madini yetu yote hasa wanapenda Uranium.Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?
Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.
Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
India,Russia and china ndiyo rafiki zetu wa kweli wa damu,toka enzi na enzi, utengamano wetu hauwezi kusitishwa kisa imewekewa vikwazo tutaendeleza umoja na mshikamano wetu daima na milele,nyie vijana wa π hatuwakatazi pia shikamaneni.Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?
Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.
Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Sijui ni nani huyo anayemshauri rais vibaya namna hii!Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?
Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.
Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
anaenda kuwatafutia GenZ wa bongo kazi katika majeshi ya Urusi yanayopigana vita huko UkraineHivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?
Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi kuuwa watanganyika na wenyewe kupiga pesa.
Ni dharau kwa nyakati hizi badala ya kutafuta uwekezaji anaenda kwenye nchi ambayo imejikita na udikteta
Mshauri wake wa masuala ya kigeni ni yule Kombo mnategemea nini?
Hapo utakuta kamshauri aende huko ili kuwatisha Marekani na Ulaya!
Halafu Putin sasa hivi ana fupa lake la vita pale Ukraine anahangaika nalo kwa hiyo huyu bibi asitegemee lolote la maana toka huko.
Kwa akili yake kisodaAnadhani kwenda Urusi anawatisha Marekani.