Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Sasa wale wanaopiga deki lami wakati hawajawahi kupiga deki nyumba zao tokea zijengwe wanamsaidia nini Lowassa

Ukiwa wamegundua mapema dawa ya ugonjwa wa Fisadi mkuu kumpa moyo kwa kumfanyia usanii wa kudeki na vioja vya hapa na pale. Kura yangu ni kwa Magufuri.
 
Mbona hatuoni kwenye nchi zilizo endelea na hata Kenyatta hatukumuona akifanya mambo kama haya hata watanglizi wa Magufuli kama Mkapa na Kikwete hawakuwahi fanya vitu kama hivi na pia alipo kuwa anasaka ubunge siku za nyuma mbona hakupiga push up

Una malalamiko mengi wewe!!!!!

Obama na Putin unawajua vizuri wewe???
 
Huyo Mama kamaliza kuzaa tayari lakini?
Asije akaanza kumtafuta dokta Mwaka.
 
Push up ni matayarisho ya ngona elimu ni matayarisho ya ufanisi na ubora. Pigie push up kama wapiga kura watawaelewa

p u m b a f u tu nyie
 
Now mpka wasomi tumekuwa watu wa kushadadia vitu ambavyo havina tija kwa taifa , nani katuroga ?
 
[h=3]
mama.jpg
[/h]
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.

Ukipita hapo nyuma kasha jipupia na hizo push ups kibonge huyo balaa
 
Mara magufuli atooke juu ya gari badala ya kupitia mlangoni yaani ccm kweli ukiifikiria sasahivi wana haifai kwenda ikulu mana kama wamedara vile yaani wapo wapo tuu
 
Heeee,sera ni pushapu tyuu na matusi.
Ndio maana kipengele cha kwanza hadi cha tatu ni elimu,coz kuna mijitu inahitaji ukombozi wa kifikra
VIVA UKAWA!.
 
[h=3]
mama.jpg
[/h]
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.

Kizuri cha jiuza, biashara matangazo
 
Tunamuhitaji Rais siyo mfano wa Rais pande zote watu wanakufa hata nyie mmekufa kumbuka inayopimwa ni Afya siyo Kifo, mnahangaika kumkosha huyo dhaifu wenu

Watu wanahangaika na afya kuepuka kifo tu..all other intermediaries are mere details, just processes along the way. Ndiyo maana watu wanamwita Lowassa Marehemu, wengine wanasema ikulu hakuna ICU, mortuary, hakuna makaburi, etc. It all comes down to uzima na mauti. Kwa hiyo hao wanaojiona wazima saaana wanaweza wakatangulia, siyo ikulu, bali kwenye hukumu...wakamwacha yule aliyeonekana kuwa dhaifu. Kuweni makini na kauli zenu za 'kilevi', maana mmelewa uzima na afya hadi mnadhani ninyi ndio 'authors' wa afya na uzima!
 
Hatutafuti mtu wa kwenda Peponi au motoni hapa tunamtafuta Rais na Amiri Jeshi mkuu, nenda kalielie na wenzako huko kwenu tuachieni Taifa letu listawi na Magufuli mtu wa kazi
 
Back
Top Bottom