Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

apo nd unapata kujua n jinsi gan nafasi inatafutwa ila hain maan yoyote ktk uongozi kwan kinachotzamwa n maamuz n sio mkakamavu kiasi gan..

Both argumentsare correct.
 
hapa kazi tuuu
Mwaka huu CCM mtavua hadi nguo.
Naona ikitokea siku Magufuli akilazwa hospitalini kwa ugonjwa (not a wish though) CCM wote wataenda hospitali walazwe ili kumuunga mkono.
 
Mkuu anaumwa nini au stress za Ngoyayi
Kuna ka-ugonjwa ambapo kitaalam kanaitwa Ngoyaiosis, Lowassitis au Hyperlowassitosis, ndiko kanamsumbua 'mafunguo na makufuli ya mafisadi ili yafungwe haraka!'
 
Mwaka huu CCM mtavua hadi nguo.
Naona ikitokea siku Magufuli akilazwa hospitalini kwa ugonjwa (not a wish though) CCM wote wataenda hospitali walazwe ili kumuunga mkono.

Mazombie kawaida yao ni kufuata upepo.
 
Hiyo ni akili kweli ,kuiga kunya kwa tembo ni kupasuka msamba,lowassa jembe anazidi kuwapa tabu sana,watazipiga sana si sera mmeishiwa,pipooooozi wanazidi kulishambulia lango la ccm ,huku nyuma ccm ikiwa imepigwa bao moja la push up wanateseka kinyama.
 
[h=3]
mama.jpg
[/h]
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.

Tuwekee na Suluhu aki- magufulika.
 
Back
Top Bottom