Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Masheikh na maaskofu pia walikuwepo.Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda wakiteta mawili matatu wakati hafla ya utoaji tuzo ikiendelea.
Wabunge wa vyama vya upinzani pia walikuwepo.Masheikh na maaskofu pia walikuwepo.
Kwani bunge la Anne Makinda na Lile la samweli sita lipi lilikuwa moto zaidi?!Bunge liliishia kwa huyu Mama. Huu mjadala wa utekaji wakati wake ungejadiliwa tu.
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana asee.
Hawana tija kwa sasa.Waungane na wapenda haki na amani kuhoji watekaji, watesaji, wafiraji, wabakaji na wauaji wa Watanzania wenzetu.Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda wakiteta mawili matatu wakati hafla ya utoaji tuzo ikiendelea.