Mama Maria Nyerere anatimiza miaka 93 leo. Karibuni tumtakie matashi mema

Tarehe 31.12.1939 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.

Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".

View attachment 2464195

Mama yetu leo anatimiza umri wa miaka 93, kwa pamoja mzazi huyu aliyemtunza Baba wa taifa letu tumtakue heri na afya tele huku Mwenyaazi Mungu azidi kumruzuku uhai zaidi.
Bibi yangu kazaliwa 1938
 
Mtoa mada rekebisha habari yako...Kama kazaliwa mwaka huo unaosema 1939 punguza miaka, weka 83, Kama ana miaka 93 mwaka wa kuzaliwa weka 1929.
 
Tarehe 31.12.1939 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.

Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".

View attachment 2464195

Mama yetu leo anatimiza umri wa miaka 93, kwa pamoja mzazi huyu aliyemtunza Baba wa taifa letu tumtakue heri na afya tele huku Mwenyaazi Mungu azidi kumruzuku uhai zaidi.
Mungu azidi kukulinda Mama yetu
 
Happy bday mama Maria🎂

Mungu amjalie maisha marefu zaidi na yenye baraka.
 
Tarehe 31.12.1929 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.

Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".

View attachment 2464195

Mama yetu leo anatimiza umri wa miaka 93, kwa pamoja mzazi huyu aliyemtunza Baba wa taifa letu tumtakue heri na afya tele huku Mwenyaazi Mungu azidi kumruzuku uhai zaidi.
Iwe kher ya kuzaliwa kwake bibi yetu
 
Back
Top Bottom